mhimidinhothedon
Member
- Jan 5, 2014
- 69
- 22
Gharama zitakazotumika ni 100bil, mkopo wa "masharti nafuu" kutoka serikali ya Korea, hivi hayo masharti ni siri ya nani na nani? Halafu kamradi kama hako ni kweli serikali imeshimdwa kukafinance mpaka wakope kwa wahisani??
Kweli Mkuu kama watu wanaweza kupiga b300 si bora wangeziweka hapo. Hii ndo Tanganyika zaidi ya uijuavyo!!!!