Magufuli turns Mnangagwa into a translator

kujua kuzungumza kiingereza siyo sifa ya mtanzania kuwa raisi, kumbukeni kiswahili ndiyo lugha ya taifa letu, tuache utumwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu unafanya kile Unaweza kufanya kwa usahihi kwa mazingira uwezo na wakati

Kuongea kiswahili nje ya nchi ni ujasiri uliopitiliza
Ni kweli huu ni ujasiri mkubwa. Yaani unaongea lugha ambayo wasikilizaji wako hawaelewi unachoongea. Hakika ni ujasiri wa uliopitiliza wa kijuha! Kwa nini sasa hakwenda na mkalimani? Huu nao ni ujasiri mwingine. Hujui kiingereza yet hutembei na mkalimani kwenye nchi za watu.
Nyie watu kumbukeni kwamba Kiingereza ni lugha rasmi ya mawasiliano hapa nchini. Na tangu elimu msingi mpaka chuo Kikuu ni lkiingereza kinatumika. Hiko China na Ujermani sijui wapi wao kiingereza sio lugha yao rasmi wala hakitumiki kufundishia km kwetu. Hivyo ni aibu rais wa nchi za common wealth kushindwa kutumia lugha inayounganisha mataifa ya common wealth. Kumbukeni tunamzungumzia rais hapa sio mtu wa kawaida. Rais wa nchi ambaye anapaswa awe na vigezo vya kutosha kuwa rais katika mazingira yetu haya ambapo lugha ya mawasiliano ya kiingereza ni muhimu katika kazi zake za kila siku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
 
Haina shida maana sijawahi kumsikia Putin ama rais wa china akiongea lugha ya kigeni
hao hata wasipo ongea kidhungu hawana shida. SIO OMBOMBA KAMA WA KWETU... ili usaidiwe ni lazima uoongee lunga ya (mama.) unaemuomba msaada. SAIDIA MASIKINI...

Hebu jaribu kumwambia huyu unayemuomba msaada kwa lugha ya kikwenu ''SAIDIA MASIKINI'' kama atakuelewa.
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Unasemaje? Ebu acha kuongeqa usichojua. Kama hujui hata basi si uingie youtube? Tafuta "Mbowe at the conservative party conference in Denmark",
 
Lumumba ni kijiwe na wajinga
 
Naskia rassimba ndio kachukua ajira kumfundisha jiwe
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
 
Wachina wanaonge kichina, wajerumani wanaongea kijerumani, wafaransa wanaongea kifaransa, waspaniola wanaongea kispaniola, na wanapozizungumza lugha zao hakuna anayeifanya hiyo kuwa habari, ila sisi masikini wa fikra, eti ni sifa kujua lugha ya mwingine na kuiongea kuliko ya kwako, na eti ndio kipimo cha elimu na kustaarabika.

Nilidhani wapizani wana lolote la maana la kuisaidia hii nchi ila ndio hatari zaidi kwani wataturudisha utumwani kwa kasi ya ajabu.
 
Haina shida maana sijawahi kumsikia Putin ama rais wa china akiongea lugha ya kigeni
Lakini wanakuwa na wakalimani.sasa kuongea kiswahili nchi za watu bila mkalimani ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze.Alipaswa kwenda na mkalimani wake badala ya kutegemea kumkuta huko.
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?

Please behave! Mbona unakuwa Mswahili tena, yaani wawezaje kumlinganisha Rais wa nchi yako nchi za nje na kiongozi wa chama (pinzani) kikingine ndani ya Tz? Mlinganishe Rais wako na Ma Rais wengine kama Ramaphosa, Museveni, Kagame, Kenyatta, Salva Kiir! Yaani ni sawa na kumlinganisha Rais wako na kiongozi wa chama pinzani Kenya Mhe Baba Raila au Mhe Besigye wa Uganda!!!! it is unbecoming and lack of etiquette.
 
Katika hili tu namuunga mkono mkulu. Nina hakika Kiingereza anakijua japo kama kile cha kwangu. Huu ni ujumbe tosha kwamba Waafrika wanahitaji kuwa na lugha yao badala ya kutumia za kigeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…