ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,727
- 2,416
Mtu safi ndiye yupi !!, MAGHUFULI KWELI AU MWINGINE ?!
sometimes you get to have to choose between two bad options mkuu,,, kwa hili mheshimiwa magu ni bora
Mtu safi ndiye yupi !!, MAGHUFULI KWELI AU MWINGINE ?!
mie hapa kila nikikumbuka vijana wa mtwa.ra walivokalishwa kwenye sakata la gesi ama ule mkwete waliopewa wazenji kipind cha m.kapa mpaka wakawa wakimbizi mombasa nabaki tu kujisemea wabongo ile people's power hua tunaishupalia mitandaoni tu sio huku mtaani kwenye maisha halisi
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?
Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?
Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?
Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?
Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?
Msamehe mkuu labda alkua anamaanisha kansa ya ziwa
Teh teh teh.
Hata Rambo ktk Movie zake kabla ya Kupambana na Maadui huwa anasali kabisa. Na hio ni Movie tu.
Ikianza miripuko hapo sidhani km wewe utasimama kidete.
Mi nakushauri tu. Endapo hali itachafuka basi kamata jembe rudi kijijini.
Hata hao UKAWA usidhani wataleta maendeleo Kiasi Hicho unachofikiri.
After all Mgombea wao ni walewale mafisadi waliotoka CCM ambao wametajirika Kwa Mali ya Ummah.
Lkn Ukiweza Kugangamala ukavumilia Kichapo huenda kukawa na Mabadiliko japo kidogo.
Kumbuka tu kumuomba Mungu wako msamaha kabla Hujakutana nae.
October utakuwa ni mwezi mbaya sana kwa historia ya Nchi yetu.
Nina mashaka makubwa kama Geita atapata hata watu hamsini elfu hasa baada ya mafuriko ya jana.Geita ukiizungunzia CCM unataka upigwe bure ingawaje kuna sintofahamu mgombea wa CHADEMA alieshinda kura za maoni hawamtaki wanasema ni pandikizi la CCM.
Kinachotakiwa CCM watoke madarakani tu basi...na hilo linawezekana kabisa, endapo wakichakachua hapo ndo mtiti utakapoanza.
Kumbuka aina ya mtiti siyo lazima iwe hiyo unayoijua wewe...zipo style kibao ndugu yangu, tena siyo za kudhuru wananchi wa kawaida but walengwa tu...yaani viongozi!
Watch out mkuu...!
siamini kama mpaka sasa kuna watanzania wanawaabudu wachina na wamarekani alaf mwisho wanalalamika kuwa mfumo mbovu ndio unaofanya meno ya tembo na rasilimali za nchi hii ziende kwenye nchi hizo.Badilika marekani wala china hawawezi kukuletea maendeleo mwisho deni la taifa linapanda kwa kupokea mikopo kwa mfumo huo ambao hata hela ya wananchi inafisadiwa mwisho inasemekana sio hela ya wananchi.Kwani wametoa mabilioni mara ngapi ya misaada kwa serekali alafu hatukuona tofauti
Teh teh teh.
Hata Rambo ktk Movie zake kabla ya Kupambana na Maadui huwa anasali kabisa. Na hio ni Movie tu.
Ikianza miripuko hapo sidhani km wewe utasimama kidete.
Mi nakushauri tu. Endapo hali itachafuka basi kamata jembe rudi kijijini.
Hata hao UKAWA usidhani wataleta maendeleo Kiasi Hicho unachofikiri.
After all Mgombea wao ni walewale mafisadi waliotoka CCM ambao wametajirika Kwa Mali ya Ummah.
Lkn Ukiweza Kugangamala ukavumilia Kichapo huenda kukawa na Mabadiliko japo kidogo.
Kumbuka tu kumuomba Mungu wako msamaha kabla Hujakutana nae.
October utakuwa ni mwezi mbaya sana kwa historia ya Nchi yetu.
Na wengine wanataka kuitoa CCM ili kuja kuona uozo unaofichwa na CCM.kwa sasa watanzania wanahitaji mabadiliko tu. Siyo lazima walete maendeleo saana. Tunachohitaji kwa sasa Ccm ipumzike kuzimu
Hana afadhali yoyote na hasa atakapokuwa ndiye boss ndani ya CCM. Huyo Jamaa 10 percent za miradi ya barabara, Nyumba za Serikali etc. Halafu watu wanamuona MALAIKA, Mwenzie aonekane SHETANI !?.sioni mantiki
kwa sasa watanzania wanahitaji mabadiliko tu. Siyo lazima walete maendeleo saana. Tunachohitaji kwa sasa Ccm ipumzike kuzimu