Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

Mtetezi wa wanyonge anayechukiwa na had I wanyonge no ajabu. Watu kufikiria kukugomea kwa wing I ni ishara huendi kama wengi wangevyopenda. JN alisema tujirekebishe...
 
Serikali nzima wanamjibu Mange tena mdada yupo zake Marekani kweli hii ni awamu ya tano viwanda washamaliza kujenga sasa huyu jamaa si anasema anakubalika sasa kwa nini anaogopa maandamano ya watu wasiopungua kumi
 
..ila nadhani amejiaminisha au ameanishwa kwamba maandamano yapo, and there is imminent danger na uwezekano wa "kupinduliwa."

..Tanzani haijafika huko, na wala hatutafika siku za karibuni, hivyo mimi sioni sababu ya wahusika kuzungumza lugha za VITISHO kama hizi tulizozisikia.
Hata huko Misiri na Libya yalianza kimchezo chezo namna hiyo baadaye yakageuka kuwa balaa. Hivyo lazima nguvu kubwa itumike katika hatua hii ya awali ili kuepusha balaa linaloweza kutokea. Prevention is always better than cure.
 
..naheshimu sana maoni yako.

..lakini kwa mtizamo wangu matatizo yetu au hii misuguano inaweza kumalizwa kwa njia za AMANI.

..Viongozi watende HAKI na waheshimu KATIBA.

..Kiongozi anatakiwa ashawishi wananchi wamuunge mkono.

..Kiongozi hatakiwa kutishia kumwaga DAMU za wananchi wake au kuwatia VILEMA.
 
Mbona wanachama, rc hadi prez mwenyewe mnaogopa ivo? Hawa watz wanaokuj na maandamano si mnaamini ndo walomuweka rais madarakani. Hofu ya nini?
 
Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.

Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.

Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].

Tena kachaguliwa kihalali.

Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.

Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.

2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?

Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.

Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.

Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.

Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.

Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.

Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Kwani wamesema wanaandama kumpindua rais?we naye hovyo tu.
 
Kweli kabisa umeongea
 
..siamini kama Mange Kimambi ana uwezo wa kupindua serekali ya Tanzania.
Hapo ndipo uwezo wa hawa viongozi wetu uchwara unapoonekana hawana lolote. Huyo binti anawaendesha hadi wanaanza kupayuka hovyo utadhani hawana akili; huyu akisema hili, yule anasema lile.
..pia nashangazwa na lugha za VITISHO zinazotolewa as if our beloved country is about to be INVADED or there is an ATTACK that is about to happen from within.
Sizonje siku hao manjagu anaowategemea watakapoweka silaha chini na kuungana na wananchi, atatimua mbio kama kichaa hadi kwa wahutu wenzake. Ujasiri wote alio nao ni kwa sababu tunao Watanzania walio usingizini wakiamini ni ndugu yao
..kuna watu wanazungumzia habari za UHAINI!! WHY?!
Hao labda ni Wahutu wenziye. Kiongozi wa juu hivyo lakini familia yake anainyanyasa hadi wanakosa raha...hizo tabia za kikatili Watanzania asilia hawana.
 
Yaani watu wazima mnatoka hadharani na kuanza kutishia watu kwa kauli za binti mdogo tena anayeishi mbali kabisa.
Mkiitwa vichaa mnalaumu, yaani Mange anawatoa nyote pangoni tena kwa maandamano ya mtandaoni. Sasa leo mkiulizwa nani kasema kutakuwa na maandamano...mtasema ni Mange?

Kweli mkuu na hii ni kiwakilishi cha kuonyesha kuwa mambo si shwari yaani watu wazima wamepagawa na wanatumia bonge ya nguvu kutisha watu kuhusu maandamano wakati sanasana na kama wangekuwa sahihi kwa mipango yao haya mambo yangeongelewa labda ktk level za kina Hapi (hawa wakuu Wa wilaya tu )

Hivi serikali inayojiamini si ndo wangetoa na 'routes'za watu kupita na kuwapa ulinzi baada ya hapo ingetoa sentence moja tu 'tunatambua hisia zenu na tutayafanyia kazi malalamiko yenu yale ya msingi ' hapo ingekuwa 'case closed '
 
Anawauzia wahutu wenzake haki zetu!Raslimali za nchi anafuja na wahutu wenzake .
Yeye na mkwe wake (mke wa Bashite)warudi kwao.
Kwa nini Tanzania iongozwe na mhutu jeuri,muuaji,mwizi na fedhuli kama huyu?
 
..naheshimu sana maoni yako.

..lakini kwa mtizamo wangu matatizo yetu au hii misuguano inaweza kumalizwa kwa njia za AMANI.

..Viongozi watende HAKI na waheshimu KATIBA.

..Kiongozi anatakiwa ashawishi wananchi wamuunge mkono.

..Kiongozi hatakiwa kutishia kumwaga DAMU za wananchi wake au kuwatia VILEMA.
Hiki si kipindi cha kushawishi kuungwa mkono. Ni kipindi cha kazi, kutekeleza ilani iliyoungwa mkono na wananchi 2015. Kipindi kiingine cha kushawishi kuungwa mkono ni August hadi October 2020.
 
Hiki si kipindi cha kushawishi kuungwa mkono. Ni kipindi cha kazi, kutekeleza ilani iliyoungwa mkono na wananchi 2015. Kipindi kiingine cha kushawishi kuungwa mkono ni August hadi October 2020.

..naheshimu mawazo yako.

..lakini wako wananchi waliounga mkono ilani nyingine, tofauti na ilani ya raisi.

..naamini ni busara kipindi hiki pia kikatumika kuwaunganisha wananchi wote ili kutekeleza ilani iliyochaguliwa na wengi.

..na njia sahihi ya kuunganisha wananchi ni kwa kutumia USHAWISHI badala ya kutishia kumwaga damu.
 
K

Katiba na sheria zinataka ilani iliyo shinda ni lazima itekelezwe na iheshimike na kila mtu, awe alipiga kura au hakupiga kura. Kwanza wengi wa watanzania wala huwa hawapigi kura. Demokrasia ni utawala wa waliowengi walioshinda kura. It is the government of the people who won the election. Haijalishi ulipiga au hukupiga kura au ulipigia kura ilani nyingine ambayo haikupita. Hakuna ushawishi wala nini baada ya hapo, ni lazima ufuate ilani iliyoshinda kura period.
 
Back
Top Bottom