Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,021
Reaction score
142,920
Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.

Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.

Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].

Tena kachaguliwa kihalali.

Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafikisha.

Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.

2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?

Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.

Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.

Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.

Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.

Itaanzia na kuishia mtandaoni tu.

Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
 
Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.

Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.

Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].

Tena kachaguliwa kihalali.

Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.

Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.

these days tumekung'amua dogo.

siku si nyingi zijazo hutakumbuka tena ulichoandika leo na utakuja na thread yenye kichwa "Magufuli ni sawa na Mubarak na Gadaffi".
 
Tatizo ni huku kutekana, kutesana na kuuwana mtu una mikakati mizuri lakin unaogopa kusubiri 2020 kwa kuwa maovu ya aina hii huwez jua siku wala saa ya kupotezwa wewe. Acha tu tuhamasishane kuandamana kumpindua labfa itamtia hofu kidogo na kupunguza ubabe wake .
 
Haya, tuone kama mtaandamana....
 
Tatizo ni huku kutekana, kutesana na kuuwana mtu una mikakati mizuri lakin unaogopa kusubiri 2020 kwa kuwa maovu ya aina hii huwez jua siku wala saa ya kupotezwa wewe. Acha tu tuhamasishane kuandamana kumpindua labfa itamtia hofu kidogo na kupunguza ubabe wake .
Unaelewa lakini adhabu ya hiki ulichokiandika hapa ni kunyongwa?
 
..ila nadhani amejiaminisha au ameanishwa kwamba maandamano yapo, and there is imminent danger na uwezekano wa "kupinduliwa."

..Tanzani haijafika huko, na wala hatutafika siku za karibuni, hivyo mimi sioni sababu ya wahusika kuzungumza lugha za VITISHO kama hizi tulizozisikia.
 
Wewe binafsi unaamini maandamano yatakuwepo

Unataka yawepo?

Yakiwepo utashiriki?
 
these days tumekung'amua dogo.

siku si nyingi zijazo hutakumbuka tena ulichoandika leo na utakuja na thread yenye kichwa "Magufuli ni sawa na Mubarak na Gadaffi".
Kuna nyuzi alishawahi kuleta huko nyuma sikumbuki vizuri majuzi ilifukuliwa akawa anajikataa, mpuuze tu
 
Kachaguliwa kihalali? Haya maandamano ni pamoja na kupinga yy kuingia kwa kuiba kura. Sasa jamaa unasemaje tusubiri uchaguzi mwingine wkt tayari tumetoka kwenye uchaguzi?.....mara hii umesahau uchaguzi wa madiwani na wa kinondoni na siha???
Hakuna wa kuturudish nyuma
 
Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.

Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.

Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].

Tena kachaguliwa kihalali.

Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.

Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.

2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?

Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.

Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.

Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.

Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.

Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.

Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.

Woga wa nini sasa? si uache uone?
 
Back
Top Bottom