..hivi Mange ametangaza maandamano ya kumpindua Raisi?
..na watu wenye akili timamu wanajiandaa kukabiliana na Mange Kimambi?!
Kwani unadhani Mubarak alikuwa hachaguliwi? Alikuwa ana chaguliwa vzuri kabsaaa! Na wanafanana ki utendaji kabsaa na Mubarak.
Ila Magu haezi wekwa class moja na Gaddafi, generali alikuwa ana saidia wananchi wake tofauti na huyu
Hapana, Kim Jong un ana akili zaidi...huyu wa kwetu ni dizaini ya Idi Amin.Sawa basi tunamlinganisha na Kim Jong un wa North Korea
Hoja sio kwamba amekaa madarakani muda gani ""!!? hoja nikwamba anamahusiano mazuri kiasi gani kiutawala dhidi ya wananchi aliowaongoza ..kwahiyo hata kama ana sababisha amani ya nchi kutoweka baada ya kukaa madarakani muda mfupi basii anapaswa kuachwa tu kwakuwa hajawahi kufikisha miaka 30....Magufuli kakaa madarakani miaka 30?
Mwanaume ambaye ngono ni first option kwake kati ya vyote huwaza mambo mepesi mepesi na huwa na tabia za kichangu sana.....Haya, tuone kama mtaandamana....
Kutoelewa DHUMUNI YA MAANDAMANO kunafanya hii thread yako yote kutokua na uhalali wa kuwepo hapa fuatilia vizuri kuhusu dhumuni la maandamano then uje u-edit uzi wako!Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Hashtag revolution maana yake nini?
Ndo maana nasema mikakati ni mibovu!
Tatizo siyo kukaa madrakani muda gani, tatizo unafanya nn ukiwa madarakani? Magufuli kakaa muda mfupi but he is worse brotherMagufuli kakaa madarakani miaka 30?
Hata asipo andika hicho Magufuli aniamuwa kuivuna roho yake ataivuna tu ktk jina la wasio julikanaUnaelewa lakini adhabu ya hiki ulichokiandika hapa ni kunyongwa?
Wapatie hii clio kwani wanadhani CUF wajinga hawafanyi vituko vya maandamanoHaya, tuone kama mtaandamana....