Wakusini
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 804
- 610
Hapa ndo mnamchochea awape kibano.Tatizo ni huku kutekana, kutesana na kuuwana mtu una mikakati mizuri lakin unaogopa kusubiri 2020 kwa kuwa maovu ya aina hii huwez jua siku wala saa ya kupotezwa wewe. Acha tu tuhamasishane kuandamana kumpindua labfa itamtia hofu kidogo na kupunguza ubabe wake .