Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Mkulu anatishwa na kivuli chake..!Nani ameandaa maandamano??? Mimi ndiyo nimesikia leo toka kwa mkulu

watanzania gani unaowajua wewe..? acha uwongo na umbeaMimi siombei chochote kuhusu hayo maandamano.
Ninatoa maoni yangu kulingana na ninavyowajua Watanzania.
Hivyo hakuna maombi yoyote hapa!
Wewe binafsi unaamini maandamano yatakuwepo
Unataka yawepo?
Yakiwepo utashiriki?
..NDIYO, nitashiriki maandamano ambayo nakubaliana na sababu zake, na nimejiridhisha kwamba yatapeleka ujumbe uliokusudiwa.
Haya maandamano ya Mange unakubaliana nayo?
Utayashiriki?
Huru na haki?!? [emoji119]Naunga mkono hoja, tena sio tuu kachaguliwa kihalali, bali kwa kupitia tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi huru na wa haki.
Kailima: Uchaguzi Ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru
Paskali
Nchi ya wachache hii mkuu.narrow thinking! akili ndogo hizi. kwamba kwa sababu amechaguliwa kidemocrasia baasi achwe afanye atakayo.kwamba kwa sababu hajamaliza miaka mitatu ndiyo atishe watu kama alivyofanya huko chato? shwaini zake wewe wewe uliona wapi kiongozi aliyechaguliwa kidemocrasia anayetaka aogopwe na waliomchagua? wewe kina polepole wanafanya mikutano nchi nzima huku wengine wapo ndani wewe unaleta ushoga hapa?
weka na namba ya simu ili upate ukuu wa wilaya...Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Utachokaje kuuliwa? Hivi unaelewa unachokiandika?Tumechoka kuuliwa, kutekwa na kunyanyaswa, Atupishe tu
Unaelewa maana ya kupindua au umekaririshwa? Maandamano hayampindui raisi ila yanamuondoa madarakani kikatiba kwa sababu yapo kisheria na kikatibaMikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Unaelewa maana ya kupindua au umekaririshwa? Maandamano hayampindui raisi ila yanamuondoa madarakani kikatiba kwa sababu yapo kisheria na kikatiba
Hatuwezi kusuburi akae miongo na miongo. Huyu ni wa kumuwahi mapema. Akikaa miongo, madhara yake yatakuwa mara kumi ya hao waliotajwa.Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Ni wapi kwenye katiba panaposema rais anaweza kuondolewa madarakani kupitia maandamano?
Acha ujinga kwaiyo watu awatekwi siunaona kumbe ata kuongea ukweri unastaili adhabu nahayo pia tunataka kuyaondoaUnaelewa lakini adhabu ya hiki ulichokiandika hapa ni kunyongwa?
Leo umeokota vingapi?...
Tofauti ipo kubwa sana, nchi yetu kila siku vipolo vya maiti vinaokotwa na watu kutekwa, ila Gaddafi na nchi yake haikuwa na matukio ya kutisha kama tz...
Wewe nyani ngabu nawe ni mnafiki tu kazi kujificha matakoni wa wazungu huku mkishangilia usa bby kama mmepajenga nyie, shenz kabisa, Rudini mjenge nchi zenu mambumbu nyie[/
Umesoma katiba vizuri? Na nn maana ya kuruhusu kuwepo maandamano?