Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Mnategemea kujirekebisha lini wakati mpaka kwenye mabango yenu mmeandika chagua Magufuli na wala sio chagua ccm??wananchi hawaichagui serikali ya magufuli - wananchi wanaichaguka Serikali ya CCM. hiyo ya magufuli anaijua yeye na familia yake.
ajirekebishe mapema bado siku 29 tu asije akashindwa hata kutoka mlisi.