Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

Mfumo ni MTU akiwa mchapa kazi kweli kweli hana matajiri wanao mzunguka yanawezekana msidanganye watu Maghufu Jembe kila MTU atakaa sawa waliokuwa hawatampenda ni mafisadi na majizi yaliyozoe njia ya mkato .
 
Humjui Magufuli wewe! tulia utamkubali tuuu. hiyo jamaa ni moto wa kuote mbali hapendi uzembe ktk kazi, mpaka sasa mafisadi, na watendaji wabovu serikalini wanahaha coz cha moto watakiona akishaingia ikulu
 
Dr.Magufuli ni mdogo mno, CCM ni mbuyu mkubwa huku Magufuli akiwa ni mchicha tu chini ya mbuyu huo.

Dr.Magufuli atuhakikishie namna atakavyomtaifisha nyumba zake Nkapa, Nsekwa, Marechela, siksi, mangura na wenginewe. Nyumba ambazo mafisadi waliuziana kwa bei ya tofari mia tano.
Aidha,asema kabisa kungali kweupe atakavyo tulejeshea aridhi ya Loliondo. Watangulizi wake hatujawahi wasikia wakiongelea hilo.si yule wa tatu wala wa tano.

Atuambie namna atakavyoiwajibisha Stanbic Bank kulipa fidia ya kukiuka sheria za fedha kwa kutoa mamilion ya dola zetu kwa singha singha. Zile dola tunazokatwa kila tununuapo umeme.
WASI WASI WETU: Dr.hawezi kuibadilisha CCM.
 
muda umeshasema yalioandikwa yanaakisi uhalisia
hakuna jipya lililifanywa zaid ya yale Yale. na tusitegemee jambo zuri kufanyika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom