Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

wananchi hawaichagui serikali ya magufuli - wananchi wanaichaguka Serikali ya CCM. hiyo ya magufuli anaijua yeye na familia yake.

ajirekebishe mapema bado siku 29 tu asije akashindwa hata kutoka mlisi.
Mnategemea kujirekebisha lini wakati mpaka kwenye mabango yenu mmeandika chagua Magufuli na wala sio chagua ccm??
 
Siku nzima ina masaa 24,kiongozi mwenye maono humudu kazi zake kwa muda uliopangwa ikiwa pamoja na mambo ya kifamilia,kitaifa nk. Ukikuta kiongozi anafanya vizuri katika ngazi ya taifa,ngazi ya familia au jimbo(kama ni mbunge) ni ovyo. Mifano ipo mingi,mwakyembe,chenge(anaonekana anafanya kazi nzur jimboni) lakini kitaifa ni wizi mtupu. Magufuli pamoja na kusifiwa kufanya vizuri katika wizara mbalimbali,lakini jimboni kwake ni ovyo. Hafai kuwa kiongozi,kiongozi mzuri ni yule anayeweza mambo yote ya kitaifa,kifamilia na kijimbo. Mfano mwngine,Kikwete ameweza katika mambo ya kifamilia,lakini ya kitaifa ni ovyo
 
Kwahiyo wewe unafikiri nani ataiweza nchi hii? Je lowasa ndo ataiweza? Hakuna mtu yeyote anayeweza kuondoa changamoto zote za nchi hii hayupo hata kama ungekabidhiwa wewe ikulu huwezi ondoa changamoto zote hivyo basi Magufuli ama lowasa atakae fanikiwa kuingia ikulu atafanya sehemu Yake basi mwingine tena atakuja nae atafanya sehemu Yake.
 
Kwa maoni yako,anachokifanya magufuli pamoja na kauli zake ni sahihi kwa mtu anayetarajiwa kupewa taasisi kubwa kama hiyo?
Kwahiyo wewe unafikiri nani ataiweza nchi hii? Je lowasa ndo ataiweza? Hakuna mtu yeyote anayeweza kuondoa changamoto zote za nchi hii hayupo hata kama ungekabidhiwa wewe ikulu huwezi ondoa changamoto zote hivyo basi Magufuli ama lowasa atakae fanikiwa kuingia ikulu atafanya sehemu Yake basi mwingine tena atakuja nae atafanya sehemu Yake.
 
Mimi nadhani kwamba magufuri hafahamu Raisi ni taasisi hivyo yako mambo ambayo huwezi kuyaamua kama vile uko nyumbani kwako.
Anafahamu, asiyefahamu ni huyu anayesema atamtoa Nguza jela wakati kisheria hana uwezo huo. Mwambieni haombi urais wa malaigwanan!
 
Mimi udhaifu nanaouna kwa Magufuli ni mtu anayefuata upepo na huenda akashindwa kusimamia serekali yake hasa iwapo watu watafanya kile kinachomfurahisha. Mfano, ameona walio wengi wanataka mabadiliko na hivyo naye ameamua kurukia upepo wa mabadiliko bila kuangalia serekali yake inataka nini na wanaomzunguka wanataka nini. Sidhani kama anajua anazungukwa na watu wenye maslahi yao binafsi kwa nchi hii na wanamtumia kama kinga kwani ana afadhali toka ccm na ana rekodi nzuri ya utendaji. Lakini ninachokiona akipata madaraka watu hao watamwambia bila wao yeye asingeshinda kwani EL alikuwa anakubalika sana kuliko yeye. Mfano wa watu hao ni kama January Makamba anayebeba mambo ya ndani ya familia ya kiongozi anayemaliza muda wake. Hilo moja lingine ni jinsi gani anashindwa kuwakanya watu wake kwenye kampeni hata kama wanatumia lugha zisizo na staha ili mradi zinashangiliwa na wanachi wachache kwake inakuwa sawa. mfano wa dhahiri ili lugha ya kipuuzi ya Msukumu kwamba EL kajinyea. Kweli kwenye kampeni ya urais mtu anatoa lugha isiyo na staha na wewe kama rais mtarajiwa unakaa kimya kisa unataka kura!!

Madhaifu hayo hapo juu huko mbele ya safari yatakuja kumgharimu kupita kiasi. Ni aidha ajirekebishe sasa ama akae kimya lakini tunaona upuuzi uleule uliotuchosha toka kwa wabunge wa ccm ukijirudia. Yeye anadhani ana nguvu sana bila kujua hawa wanaomzunguka dakika ya mwisho akiwa rais ndio watampangia nini cha kufanya. Aangalie JK jinsi alivyokosa maamuzi kisa ni aina ya kundi na kufumbia macho mambo ya kihuni ndio leo kunamgharimu. Mfano mrahisi ni pale JK alipounga mkono rasimu ya Warioba, lakini rasimu ilipoenda bungeni nini kiliendelea na jinsi wabunge wa ccm walivyoamua.

CC. Humphrey Polepole.
 
Anafahamu, asiyefahamu ni huyu anayesema atamtoa Nguza jela wakati kisheria hana uwezo huo. Mwambieni haombi urais wa malaigwanan!

Inaoenakana hujui katiba ya nchi inasemaje wewe, rais kisheria ana haki ya kutoa msamaha kwa wafungwa. Pitia kifungu hicho, nadhani umewahi kusikia rais wakati wa sherehe fulani haswa za kitaifa kuwaachia huru wafungwa.
 
Umenena vema sana mkuu pia la kuongezea hapo, Time management yake ni poor hii ilijidhihirisha pale jangwani mda wa mkutano umeisha lakini yeye hajamaliza kuhutubia na pia ni mvunjaji na haheshimu sheria za nchi hii pia ilijidhihirisha pale aliporndelea kuhutubia huku akijua anavunja sheria za uchaguzi sasa mtu hata hajaingia ikulu ashaanza kuvunja sheria na akiingia je? Si ndo ikulu itakuwa nyumba ya wavunja sheria na katiba ya nchi? Si ndo mwanzo wa serikali ya mtu na si ya tanzania? Watanzania tuwe makini na huyu mtu.
 
Uliona wapi baba na mwana wakabaka kwa wakati mmoja? Walikuwa vichaa,walikuwa wanaumwa,walkuwa na mtindio wa ubongo?
Anafahamu, asiyefahamu ni huyu anayesema atamtoa Nguza jela wakati kisheria hana uwezo huo. Mwambieni haombi urais wa malaigwanan!
 
Inaoenakana hujui katiba ya nchi inasemaje wewe, rais kisheria ana haki ya kutoa msamaha kwa wafungwa. Pitia kifungu hicho, nadhani umewahi kusikia rais wakati wa sherehe fulani haswa za kitaifa kuwaachia huru wafungwa.

Walawiti msamaha wa Rais hauwahusu
 
Ndio maana niksema,JK atakuwa bora zaidi. Huyu ni mwepesi wa kuriri tu lakini ktk hali ya kawaida hajui lolote.
Umenena vema sana mkuu pia la kuongezea hapo, Time management yake ni poor hii ilijidhihirisha pale jangwani mda wa mkutano umeisha lakini yeye hajamaliza kuhutubia na pia ni mvunjaji na haheshimu sheria za nchi hii pia ilijidhihirisha pale aliporndelea kuhutubia huku akijua anavunja sheria za uchaguzi sasa mtu hata hajaingia ikulu ashaanza kuvunja sheria na akiingia je? Si ndo ikulu itakuwa nyumba ya wavunja sheria na katiba ya nchi? Si ndo mwanzo wa serikali ya mtu na si ya tanzania? Watanzania tuwe makini na huyu mtu.
 
Sure thing bro, jamaa Hana qualities za kua raisi, hakujiandaa kuwa raisi, ndio mana Hana vipaumbele. Ukiangalia clips za lowassa tangu akiwa CCM alisema kabisa kipaumbele chake ni elimu, na alikua hakubaliani na swala la kilimo kwanza. Ni mtu ambae amejipanga kuwa raisi, tukiacha ushabiki wa vyama na chuki binafsi.. Hii nchi lowassa ndie anafaaa kuiongoza!
 
Magufuli anasafiria ndoto ya KITENGO hakutegemea kuwa rais.

kati ya CCM na Mungu nani mkubwa? bila kujali rais ajaye anatoka chama kipi, mungu akitaka mabadiliko kwa watanzania lazima yatokee. Mungu hateui rais,mtarajiwa kwa kuiogopa ccm. yule unayefikiri hafai tangu sasa nakuhakikishia ndiye mungu aliyemchagua. Achana na tabiri za manabii na mitume waliojituma. Mungu hatumii fedha kuinua chaguo lake. Magufuli alitumia fedha chache sana kutafuta,wadhamini ktk uteuzi wa awali na hata kupatikana kwake hakuna aliyekuwa na uhakika angeshinda. hiyo ni hekima ya mungu. Mungu hapangiwi njia ya kupita sanamu.ndio inasogezwa unakokutaka. mungu hasaidiwi. mtapiga propaganda lakini alichopanga mungu lazima lithibitike.
 
Ndugu yangu, ni mfumo huu huu ambao ulifanya vizuri kwa Nyerere, Mwinyi na Mkapa!
Ni mfumo huu ambao utafanya kazi vizuri chini ya Magufuli!
Sasa hebu uelezee huo mfumo mpya wa ukawa ukoje???
Structure yake ikoje! Mfumo huo una watendaji gani?? Au ni hao akina Mbowe????
Msijaribu kulishwa maneno bila kufanya kautafiti kidogo!

Tatizo kubwa la Tanzania ni katiba mbovu. Katiba iko kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama na wanachama wake ........... unakumbuka enzi za chama kimeshika UTAMU (HATAMU). Toka wakati ule (katiba ya 1977), katiba haijebadilishwa kukidhi uwajibikaji na maslahi ya nchi. Ndiyo maana kila mtu anapiga kelele mafisadi, mafisadi lakini hakuna fisadi anayekamatwa au kufunguliwa kesi. Sasa ni kulalamiaka tu kuanzia Rais, Mawaziri mpaka Walala hoi!!
 
usiendelee kulalamika na wewe kama uliowataja. msimu wa mabadiliko umefika na mungu mwenyewe analisimamia hili. msimu wa watanzania kuitwa masikini na kudharauliwa mataifa ya kigeni umepita. taifa hili linalwenda kuwa taifa tajiri na litalalovutia watu wa mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom