Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

Sure thing bro, jamaa Hana qualities za kua raisi, hakujiandaa kuwa raisi, ndio mana Hana vipaumbele. Ukiangalia clips za lowassa tangu akiwa CCM alisema kabisa kipaumbele chake ni elimu, na alikua hakubaliani na swala la kilimo kwanza. Ni mtu ambae amejipanga kuwa raisi, tukiacha ushabiki wa vyama na chuki binafsi.. Hii nchi lowassa ndie anafaaa kuiongoza!

qualities za urais hazipimwi kwa viwango vya wanadamu. mungu anamtaka atakayeiondoa nchi kwenye ufukara. kwani wenye qualities wamewafikisha wapi mpaka sasa? hayi mashindano ya urembo Hapa kazi tu!
 
HAKIKA MGOMBEA -HUYU NI TATIZO:

Kadri siku za uchaguzi mkuu zinavyokaribia, ndivyo hali ya kiafya ya mgombea , inavyozidi kudhoofu. Hakika huyu mzee anaumwa. Wala uhitaji kuwa na taaluma yoyote ya Kidaktari kugundua kuwa anaumwa, tena anaumwa kwelikweli.

Dalili zifuatazo zinathibitisha udhaifu wa afya alionao mgombea huyu:

• Uso wake na ngozi yake vimepoteza ile nuru yake ya asili. Ngozi yake imefubaa na kusinyaa. Haina ung'avu wa binadamu wa kawaida mwenye afya njema.

• Anashindwa kutembea kwa ukakamavu. Anatembea mithili ya mtoto anayejifunza kutembea.

• Halmashauri ya Ushirikiano kati ya viungo vyake vya mwili umeparaganyika. Ubongo upo kivyake na kiwiliwili kipo kivyake.

• Mikono, vidole na midomo vinatetemeka mithili ya mtu mwenye Mtindio wa Ubongo. Hivi ni viungo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Viungo vya mgombea huyu vimeathirika hadi anashindwa kuhutubia kwa muda mrefu.

• Viungo vyake vya haja kubwa na ndogo navyo vimepoteza uwezo wa ustahamilivu.

• Anapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Alilolisema jana na juzi silo atakalolisema leo na kesho. Anabadilika badilika kutokana na kupoteza kumbukumbu. Hali ya kupoteza kumbukumbu si jambo jema hata kidogo,- kwa Kiongozi yoyote wa ngazi ya Urais. Kwani Urais unataka mtu mwenye afya njema ya mwili na akili ili aweze kutekeleza kikamilifu majukumu mazito aliyokabidhiwa na wapiga kura.

Huyu mgombea wa sasa sio yule tuliokuwa tunamfahamu miaka mitano au kumi iliyopita akiwa na afya njema. Lakini mgombea -huyu wa sasa amedhoofu mno. Hii ni dhambi kubwa na ni udhalilishaji wa hali ya juu ambao wafuasi wake wanamfanyia.

-
 
Ndio maana niksema,JK atakuwa bora zaidi. Huyu ni mwepesi wa kuriri tu lakini ktk hali ya kawaida hajui lolote.

inawezekana watanzania mpaka sasa hatujui rais bora ni yupi. kipaji cha kuongea watu wakafurahi bila utelezaji si sifa za raus. kuwa mtu wa watu na kuchagua washikaji ni udhaifu mkubwa. utafuta fundi kujenga nyumba yako akakupa maelezo mazuri kila aiku lakini nyumba haijengwi si fundi mzuri. fundi mzuri unampima kwa kazi.
 
HAKIKA MGOMBEA -HUYU NI TATIZO:

Kadri siku za uchaguzi mkuu zinavyokaribia, ndivyo hali ya kiafya ya mgombea , inavyozidi kudhoofu. Hakika huyu mzee anaumwa. Wala uhitaji kuwa na taaluma yoyote ya Kidaktari kugundua kuwa anaumwa, tena anaumwa kwelikweli.

Dalili zifuatazo zinathibitisha udhaifu wa afya alionao mgombea huyu:

Uso wake na ngozi yake vimepoteza ile nuru yake ya asili. Ngozi yake imefubaa na kusinyaa. Haina ung'avu wa binadamu wa kawaida mwenye afya njema.

Anashindwa kutembea kwa ukakamavu. Anatembea mithili ya mtoto anayejifunza kutembea.

Halmashauri ya Ushirikiano kati ya viungo vyake vya mwili umeparaganyika. Ubongo upo kivyake na kiwiliwili kipo kivyake.

Mikono, vidole na midomo vinatetemeka mithili ya mtu mwenye Mtindio wa Ubongo. Hivi ni viungo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Viungo vya mgombea huyu vimeathirika hadi anashindwa kuhutubia kwa muda mrefu.

Viungo vyake vya haja kubwa na ndogo navyo vimepoteza uwezo wa ustahamilivu.

Anapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Alilolisema jana na juzi silo atakalolisema leo na kesho. Anabadilika badilika kutokana na kupoteza kumbukumbu. Hali ya kupoteza kumbukumbu si jambo jema hata kidogo,- kwa Kiongozi yoyote wa ngazi ya Urais. Kwani Urais unataka mtu mwenye afya njema ya mwili na akili ili aweze kutekeleza kikamilifu majukumu mazito aliyokabidhiwa na wapiga kura.

Huyu mgombea wa sasa sio yule tuliokuwa tunamfahamu miaka mitano au kumi iliyopita akiwa na afya njema. Lakini mgombea -huyu wa sasa amedhoofu mno. Hii ni dhambi kubwa na ni udhalilishaji wa hali ya juu ambao wafuasi wake wanamfanyia.

-

dhambi yote anabeba Mbowe ambaye ni mungu wa chadema kila atakachosema ni sahihi. abajua hali lakini anafanya exploitation kutokana tu na tamaa ya. mgombea.
 
Mungu ametupatia wanadamu ufahamu na karama mbalimbali, sio lazima kila mtu awe nazo,.. ni wachache tu ndio waliookirimiwa,.. mimi naamini Lowassa anafaa zaidi kuliko maghufuri, siongei kwa ushabiki nilimkubali tangu akiwa CCM
 
qualities za urais hazipimwi kwa viwango vya wanadamu. mungu anamtaka atakayeiondoa nchi kwenye ufukara. kwani wenye qualities wamewafikisha wapi mpaka sasa? hayi mashindano ya urembo Hapa kazi tu!

Mungu ametupatia wanadamu ufahamu na karama mbalimbali, sio lazima kila mtu awe nazo,.. ni wachache tu ndio waliookirimiwa,.. mimi naamini Lowassa anafaa zaidi kuliko maghufuri, siongei kwa ushabiki nilimkubali tangu akiwa CCM
 
maghufuli anatumia kabila lake kujinadi ni hatari sana sana kwa taifa letu. watanzania wapenda taifa letu tafadhali tumkatae kwa nguvu zote.
 
kati ya CCM na Mungu nani mkubwa? bila kujali rais ajaye anatoka chama kipi, mungu akitaka mabadiliko kwa watanzania lazima yatokee. Mungu hateui rais,mtarajiwa kwa kuiogopa ccm. yule unayefikiri hafai tangu sasa nakuhakikishia ndiye mungu aliyemchagua. Achana na tabiri za manabii na mitume waliojituma. Mungu hatumii fedha kuinua chaguo lake. Magufuli alitumia fedha chache sana kutafuta,wadhamini ktk uteuzi wa awali na hata kupatikana kwake hakuna aliyekuwa na uhakika angeshinda. hiyo ni hekima ya mungu. Mungu hapangiwi njia ya kupita sanamu.ndio inasogezwa unakokutaka. mungu hasaidiwi. mtapiga propaganda lakini alichopanga mungu lazima lithibitike.

kaka usimlete Mungu kwenye siasa zenu zilizojaa ushirikina, mapenzi yako kwa magufuri yasihalalishe kwamba yeye ni chaguo la Mungu, tuliambiwa na kadinari pengo kwamba kikwete ni chaguo la Mungu, sasa jiulize je, ni kweli Kikwete alikua ni chaguo la Mungu? kama ni kweli basi tukubaliane kwamba Mungu amelipa kisogo taifa la Tanzania,..
Mungu ameshatupa maarifa ya kujua na nani anafaa na nani hafai, ndio mana nikakwambia Maghufuri hana qualities za kuwa raisi.
 
1. Mfumo unaotakiwa kwa Tanzania mpya (kuanzia 2015) ni wa serikali kuwajibika kwa wananchi (kupunguza madaraka mengi ya rais na viongozi wengine wa serikali na wabunge kama ilivyo kwenye rasimu ya pili ya katiba) - Rasimu ya Warioba.

2. Mfumo wa sasa ni wa 'wananchi kuwajibika kwa serikali' (madaraka makubwa ya rais na wabunge na viongozi wengine wakishachaguliwa kutoka madarakani ni kwa kupenda kwao na si kwa matakwa ya wananchi). Rasimu ya pili iliweka wazi kwamba mbunge asiyetimiza wajibu wake aweze kuwajibishwa na wananchi. Kulitakiwa tu kuweka utaratibu mzuri wa kumwajibisha mbunge na ubunge hata kama hawawakilishi tena wananchi wake kama inavyotakiwa.

3. Rasimu ya pili ilipochakachuliwa, katiba pendekezwa (ambayo ndiyo ingeleta mfumo mpya wa utawala wa nchi) tumebakiwa na katiba karibu sawa na katiba ya sasa ya 1977.
4. Hivyo, kwa mfumo wa sasa hata Magufuli (Hapa ni Kazi Tu) hawezi kuleta mabadiliko yanayotakiwa maana mfumo wa serikali ya sasa na ambao ndio uliomlea na kumteua hawezi kwenda kinyume nao kwa maana 'he who goes against the system crushes himself'.

5. Kama Magufuli atashinda ‘it'll be just like pouring new wine into old wineskins'. Good intention only is not enough one has to be backed by the operating system in order to bring about desired changes.

6. Magufuli akishinda kuwa Rais atafanyaje?
 
Tangu umeujua mfumo
Afu hata hauujui
umekaririshwa tu

mfumo wa chadema usiokuwa na democracy hauuon?
 
Ni kweli changamoto atakutana nazo, but Magufuli ni jembe namuamini chini yake mambo yataenda sawa na nchi itanyoooka
 
Back
Top Bottom