- Thread starter
- #161
Nimeipitia sera ya elimu inayoonyesha idadi ya wanafunzi na mipango ya Elimu. Wengi tungeisoma na kulinganisha na haya ya Magufuli na mwenzake Lowassa kuanzia kampeni huenda tungefaham zaidi. Rough estimate ni 50 billions na hapo ni kuassume ni ada tu bila michango.Ina maana wewe umeleta mada na haujui unaongelea pesa ngapi?