Magufuli Not Going To The UN General Assembly To Save Costs While Lungu Charters A Private Jet Again

Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli
Dah, mitaa gani hiyo kaka?
 
Kuhudhuria na kukodi ndege ni viti viwili tofauti.
Kwani huyo Mahiga na wenzake ameenda kwa mbawa za kichawi ?
Si amepanda 1st class atakaa 5 star hotel na chaufer driven ?
Kuhudhuria ni muhimu sana. Sio lazima kila mwaka lakini hii ni trend yake sio UN tu. Anskwepa SADCC na AU
Hizi world bodies zina kasoro lakini muhimu sana.
Leo hapa kuna prigram ngapi za UN ? Kuputia WHO UNICEF UFAD FAO UNDP UNCR UNESCO nk ?
Tuna matatizo mangapi ambayo hatuwezi kutatatua alone ? Tuna matatizo ya mpaka na Malawi
Kuna matatizo ya refugees wasiikwisha..
Tusimsifu kwa kutotuwakilisha bai tumkosoe hii ni weakness hatuwezi kuishi in isolation kwa kisingizio cha gharama ....
Neno lake pale ni muhimu kuliko la waziri
The world will listen to him then his minister
Even his policy ya vita ya uchumi ingekuwa vema kuiambia dunia ana nia gani.....ili kuondoa sitofahamu ilio enea kika pembe kuwa tupo against biashara na uwekezaji na tupo kwenye nationalization process ya nguzo za uchumi..
KWENDA NI MUHIMU SANA
 
93e9e329e74c0da1c1568d6fcdc25ba0.jpg
 
Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli
Yap ukipendwa na watu wenye uelewa mdogo lazima na ww utakua na kasoro kidogo kichwani jf huwezi ilinganisha na mtandao wwte Facebook mpk wadada wa kazi za ndani wamo
 
September 19, 2017

Tanzanian President John Magufuli has skipped another high profile United Nations General Assembly (UNGA) held in New York in the US between September 18 and 20, this year.

In the meeting, Tanzania is represented by Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga.

This is the same meeting where dictator Edgar Lungu has chartered a private jet at a cost of US $600,000 and carried cadres.

As usual, Lungu is only going to address empty chairs as nobody listens to his alcoholic voice when speaking like he is chewing a rat.

The Tanzanian leader thinks these UN meetings are merely talk shows that don’t even benefit his people and African countries.
Magufuli Not Going To The UN General Assembly To Save Costs While Lungu Charters A Private Jet Again
Tofauti iko wazi kwa zambia aliesema hayo yuko huru na gazeti liko huru linaendelea na shughuri zake rais Lungu nae yuko ughaibuni hajishughurishi na wenye maoni yao anaiwakilisha nchi
Hapa kwetu gazeti lingekuwa limefungiwa na alietoa maoni angekuwa segerea bila zamana akipambana na kesi ya uchochezi.
 
Mpumbavu wewe JK aliwezaje kuajiri semeni hivi Kipara hana uwezo mtu anaendesshwa n mtusi wa Kigali
Mkuu , wewe unasema nini? Ulitaka Magufuli aingie ma kuanza kutapanya pesa kwenye uchafu? Lazima atenganishe maji taka na maji safi ndo aanze kuajiri.
 
Kuhudhuria na kukodi ndege ni viti viwili tofauti.
Kwani huyo Mahiga na wenzake ameenda kwa mbawa za kichawi ?
Si amepanda 1st class atakaa 5 star hotel na chaufer driven ?
Kuhudhuria ni muhimu sana. Sio lazima kila mwaka lakini hii ni trend yake sio UN tu. Anskwepa SADCC na AU
Hizi world bodies zina kasoro lakini muhimu sana.
Leo hapa kuna prigram ngapi za UN ? Kuputia WHO UNICEF UFAD FAO UNDP UNCR UNESCO nk ?
Tuna matatizo mangapi ambayo hatuwezi kutatatua alone ? Tuna matatizo ya mpaka na Malawi
Kuna matatizo ya refugees wasiikwisha..
Tusimsifu kwa kutotuwakilisha bai tumkosoe hii ni weakness hatuwezi kuishi in isolation kwa kisingizio cha gharama ....
Neno lake pale ni muhimu kuliko la waziri
The world will listen to him then his minister
Even his policy ya vita ya uchumi ingekuwa vema kuiambia dunia ana nia gani.....ili kuondoa sitofahamu ilio enea kika pembe kuwa tupo against biashara na uwekezaji na tupo kwenye nationalization process ya nguzo za uchumi..
KWENDA NI MUHIMU SANA
Vikao nyanya alitakiwa kuwatuma mawaziri na makatibu sasa yy kila cku kajifungia ndani au anaogopa atabaki kimya uko maana kuna watu uko ubongo uko fasta na wanaongea vzr kwl lugha pendwa asee na ukijichanganya uko kusema acacia haijasajiliwa
 
Kuhudhuria na kukodi ndege ni viti viwili tofauti.
Kwani huyo Mahiga na wenzake ameenda kwa mbawa za kichawi ?
Si amepanda 1st class atakaa 5 star hotel na chaufer driven ?
Kuhudhuria ni muhimu sana. Sio lazima kila mwaka lakini hii ni trend yake sio UN tu. Anskwepa SADCC na AU
Hizi world bodies zina kasoro lakini muhimu sana.
Leo hapa kuna prigram ngapi za UN ? Kuputia WHO UNICEF UFAD FAO UNDP UNCR UNESCO nk ?
Tuna matatizo mangapi ambayo hatuwezi kutatatua alone ? Tuna matatizo ya mpaka na Malawi
Kuna matatizo ya refugees wasiikwisha..
Tusimsifu kwa kutotuwakilisha bai tumkosoe hii ni weakness hatuwezi kuishi in isolation kwa kisingizio cha gharama ....
Neno lake pale ni muhimu kuliko la waziri
The world will listen to him then his minister
Even his policy ya vita ya uchumi ingekuwa vema kuiambia dunia ana nia gani.....ili kuondoa sitofahamu ilio enea kika pembe kuwa tupo against biashara na uwekezaji na tupo kwenye nationalization process ya nguzo za uchumi..
KWENDA NI MUHIMU SANA
Hapandi ndege za masafa siyo anapenda maelekezo ya Dr
 
Ila nahamini magufuli atakua kwenye tuition ya break ya maneno "we are very well played by investors and now it's over and over" kama namwona akiongea mijineno ya ivyo
 
Hapa Naona Wamejaa "Watu wasio julikana" akili zao wanazijua wenyewe!
 
Back
Top Bottom