drgeorgemayalla
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 174
- 171
Tena bure kabisa tunawapawamchukue
Tena bure kabisa tunawapawamchukue
Wasiojua machungu ya MagufuliWanaojua thamani ya Rais Magufuli.
Akija mreno chinja tupa.Mchaka mchaka Chinja! Alemselema Chinja!
Hicho siyo kipimo kizuri.Mkuu kafungue ile video ya Msigwa YouTube akimnanga spika uone watanzania walivyomtapikia, Mara nyingi hapa jf ni wachache na hawana uhalisia wa kwamba ndio mtazamo wa jamii.
Ukitaka kujua hili angalia muamko wa wananchi kwenye hii ziara ya Magufuli Arusha.