Magufuli Not Going To The UN General Assembly To Save Costs While Lungu Charters A Private Jet Again

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,000
September 19, 2017

Tanzanian President John Magufuli has skipped another high profile United Nations General Assembly (UNGA) held in New York in the US between September 18 and 20, this year.

In the meeting, Tanzania is represented by Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga.

This is the same meeting where dictator Edgar Lungu has chartered a private jet at a cost of US $600,000 and carried cadres.

As usual, Lungu is only going to address empty chairs as nobody listens to his alcoholic voice when speaking like he is chewing a rat.

The Tanzanian leader thinks these UN meetings are merely talk shows that don’t even benefit his people and African countries.

SOURCE: Zambian Observer
 

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,944
2,000
Hata matusi anayokunywa kutoka kwa hawa wapinzani uchwara ni kwa sababu ni tishio kwao
Sasa hawa nao utawaweka maanani kweli? Watu wanaotetea mafisadi na wanyonyaji hao nao ni wa kuwasikiliza? Mtu analitukana taifa lake nje ya nchi tena kwenye media live coverage? Tanzania hakuna upinzani mkuu kuna genge linalotafuna ruzuku kwa jina la upinzani.
 

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,121
2,000
Wanaopiga kelele kwa JPM hawawezi toboa. Sisi tunajua umuhimu wake katika ulimwengu wa waleo.

Wamemushindwa Makonda sembuse na JPM....Watachonga viazi.
 

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,944
2,000
Hata hapa jf, ni kakikundi fulani tu kanakoongozwa na kikabila fulanu kibinafsi ninafsi hivi
Mkuu kafungue ile video ya Msigwa YouTube akimnanga spika uone watanzania walivyomtapikia, Mara nyingi hapa jf ni wachache na hawana uhalisia wa kwamba ndio mtazamo wa jamii.

Ukitaka kujua hili angalia muamko wa wananchi kwenye hii ziara ya Magufuli Arusha.
 

mxsdk

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,594
2,000
Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli
Thibitisha mkuu!
 

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,251
2,000
Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli
Anakubalika kwa kutoajili tangu aingie, kwa kutopandisha mishahara, kuto toa increments kwenye mishahara, bomoabomoa anazoendesha Bila fidia na roho mbaya, ni lazima uwe... Ndo umpende
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom