Magufuli ni "visasi na kulipiza"

Magufuli ni "visasi na kulipiza"

Naomba uweke tukio na utumbuaji wake.

mm naanza na suala LA kagera kuachwa wateseke kwa kuwa walichagua upinzani.

kubomolewa nyumba bonde LA hananasif kwa kuchagua ukawa,

ongezeeni yapo mengi aje asome huenda hajui km tunajua
Kweli wewe Busara hauna kuendelea kulea watu wa aina yenu ni ujuha.

Ivi hao wa bonden si ndo kila mara wanakubwa na mafuriko na kulalamika.

Aya wa kagera ulitaka wajengewe nyumba ama wapewe msaada gan?? Hakuna utaratibu dunian kote kama huo ukijengea leo hao kesho watakuja wengine wamekubwa na mafuriko nyumba zimeanguka mtasema wajengewe na wao. Embu tupe mfano wa nchi ambayo imekubwa na natural catastrophies na serikali ikawajengea nyumba?? Kazi ya serikali ni kuwalinda wananchi wake na ndo maana walihakikisha wanazima umeme na kutoa nyama za umeme ziluzohatari,kuwapa msaada wa kiafya wale walio mahospitalini na kutoa majeneza sasa wewe mwenye uelewa embu tupe tathmn yako ulitaka nchi ifanye nini???.

Afu wakati unatupa hyo tathmn tuambie ni mwaka sasa sehemu ambapo ukawa inaongoza nini cha tofauti mmeshafanya ama hata maendeleo gani mmefanya.
Zaidi ya majimbo yenu mengi kuongoza kwa mambo ya hovyo la kwanza likiwa hai,mbeya na Arusha
 
Shemeji Mbona Unaongea kwa ukali iv

Punguza Jazba Shemeji
 
Mboe alimshauri kitu kizuri alipotembelea wathirika wa tetemeko....cz alijua serikali isingeweza jenga nyumba zao bt ingepunguza gharama za vifaa vya ujenzi....kama mfuko wa sment bk20000.sasa msada wao uko wap.
 
Naomba uweke tukio na utumbuaji wake.

mm naanza na suala LA kagera kuachwa wateseke kwa kuwa walichagua upinzani.

kubomolewa nyumba bonde LA hananasif kwa kuchagua ukawa,

ongezeeni yapo mengi aje asome huenda hajui km tunajua
Kanda ya kaskazini inavyonyongwa
 
Linganisha na ccm
 
  • Thanks
Reactions: 999

Kwa hiyo kama wanakumbwa na mafuriko ndo uwabomolee nyumba zao?kwani mafuriko utokea jangwani tu?ujasikia China,Japan n.k.ulishawahi kuona wanabomoa nyumba kisa kuna mafuriko?kulitakiwa kuwe na miundombinu mizuri.jiongezeee

Kukaa mabondeni sio sababu ya mafuriko.
 
Mboe alimshauri kitu kizuri alipotembelea wathirika wa tetemeko....cz alijua serikali isingeweza jenga nyumba zao bt ingepunguza gharama za vifaa vya ujenzi....kama mfuko wa sment bk20000.sasa msada wao uko wap.
Hivi kwa hela zilizochangwa.kama wangeamua kuwapa mil 10 kila mmoja za kuanzia kujenga.zisingetosha?
 
Kwa hiyo kama wanakumbwa na mafuriko ndo uwabomolee nyumba zao?kwani mafuriko utokea jangwani tu?ujasikia China,Japan n.k.ulishawahi kuona wanabomoa nyumba kisa kuna mafuriko?kulitakiwa kuwe na miundombinu mizuri.jiongezeee

Kukaa mabondeni sio sababu ya mafuriko.
Ivi kila siku mafuriko yakitokea malalamiko yanakwenda kwamba serikali haiwasaidii.
Sasa wewe usielewa unasema kukaa mabondeni sio tattizo kwa mafuriko afu unalinganisha soda na ugali ya kwetu haya ni ya kujitakia wewe unaufata mkondo wa maji unategemea nini ya china ni natural catastrophies yale.
 
Kwa hiyo kama wanakumbwa na mafuriko ndo uwabomolee nyumba zao?kwani mafuriko utokea jangwani tu?ujasikia China,Japan n.k.ulishawahi kuona wanabomoa nyumba kisa kuna mafuriko?kulitakiwa kuwe na miundombinu mizuri.jiongezeee

Kukaa mabondeni sio sababu ya mafuriko.
Jina lako linakusadifu,
 
Naomba uweke tukio na utumbuaji wake.

mm naanza na suala LA kagera kuachwa wateseke kwa kuwa walichagua upinzani.

kubomolewa nyumba bonde LA hananasif kwa kuchagua ukawa,

ongezeeni yapo mengi aje asome huenda hajui km tunajua
Sasa wewe pale bondeni kwa uono wako wa kibavicha unadhani panastahili kuishi binadamu?
 
Wanakera watu ambao wanaamini wanafam afu kumbe hawajui chochote aje atuambie labda anaweza kua anauelewa.

Kwa hio wewe unajiona kuwa unajua na wenzako hawajui,
Sasa wewe una tofauti gani na hawa viongozi wetu wanaodai kuwa wapiga dili ndio wanalalamika?
Au wanaodai kuwa uchumi umekuwa mzuri kisa tu kapewa uwaziri na gari kiyoyozi uchumi wa nyumbani kwake mzuri bas anajua ni uchumi wa nchi nzima.
Jitafakari kabla ya kumwaga mapovu.
 
Ole wao nishike rungu watanikoma hasa wale was upande wa pili
 
  • Thanks
Reactions: 999
Sasa wewe pale bondeni kwa uono wako wa kibavicha unadhani panastahili kuishi binadamu?
Unadhani wajinga ni wale waliokuwa wanajenga au serikali iliyokuwa inapeleka huduma za maji, umeme na kukusanya kodi? Yenyewe ndio imekuwa ikiwavutia watu kwenda huko maana wanapeleka huduma hizo za kibinadamu.
Hata hivyo kubomoa randomly namna ile sio utu kwa raia wako ukizingatia wakati wanajenga walikuwa wanaangaliwa tuu na hata chaguzi za serikali za mitaa walikuwa wanasajiliwa huko huko
 
Back
Top Bottom