Magufuli ni "visasi na kulipiza"

Magufuli ni "visasi na kulipiza"

Unadhani wajinga ni wale waliokuwa wanajenga au serikali iliyokuwa inapeleka huduma za maji, umeme na kukusanya kodi? Yenyewe ndio imekuwa ikiwavutia watu kwenda huko maana wanapeleka huduma hizo za kibinadamu.
Hata hivyo kubomoa randomly namna ile sio utu kwa raia wako ukizingatia wakati wanajenga walikuwa wanaangaliwa tuu na hata chaguzi za serikali za mitaa walikuwa wanasajiliwa huko huko
Hivi wewe na ugreat thinker wako unaweza kujenga bondeni?Kwani lazima uishi kinondoni?
Kwa hiyo wasibomolewe kisa wamepelekewa umeme na maji?
 
Kweli wewe Busara hauna kuendelea kulea watu wa aina yenu ni ujuha.

Ivi hao wa bonden si ndo kila mara wanakubwa na mafuriko na kulalamika.

Aya wa kagera ulitaka wajengewe nyumba ama wapewe msaada gan?? Hakuna utaratibu dunian kote kama huo ukijengea leo hao kesho watakuja wengine wamekubwa na mafuriko nyumba zimeanguka mtasema wajengewe na wao. Embu tupe mfano wa nchi ambayo imekubwa na natural catastrophies na serikali ikawajengea nyumba?? Kazi ya serikali ni kuwalinda wananchi wake na ndo maana walihakikisha wanazima umeme na kutoa nyama za umeme ziluzohatari,kuwapa msaada wa kiafya wale walio mahospitalini na kutoa majeneza sasa wewe mwenye uelewa embu tupe tathmn yako ulitaka nchi ifanye nini???.

Afu wakati unatupa hyo tathmn tuambie ni mwaka sasa sehemu ambapo ukawa inaongoza nini cha tofauti mmeshafanya ama hata maendeleo gani mmefanya.
Zaidi ya majimbo yenu mengi kuongoza kwa mambo ya hovyo la kwanza likiwa hai,mbeya na Arusha
CCM mmeshokilia hayo majimbo kwa zaidi ya 45yrs and nothing has been done

upinzani umeshika kwa mwaka mmoja unaanza makele eti wamefanya nini.

tunawapa upinzani miaka mingine 50, kama hupendi kasage chupa unywe
 
Hivi wewe na ugreat thinker wako unaweza kujenga bondeni?Kwani lazima uishi kinondoni?
Kwa hiyo wasibomolewe kisa wamepelekewa umeme na maji?
Hivi lile zoezi haliendelei tena au ilikuwa ni kwa wachache tu a.k.a walalahoi
 
Kweli wewe Busara hauna kuendelea kulea watu wa aina yenu ni ujuha.

Ivi hao wa bonden si ndo kila mara wanakubwa na mafuriko na kulalamika.

Aya wa kagera ulitaka wajengewe nyumba ama wapewe msaada gan?? Hakuna utaratibu dunian kote kama huo ukijengea leo hao kesho watakuja wengine wamekubwa na mafuriko nyumba zimeanguka mtasema wajengewe na wao. Embu tupe mfano wa nchi ambayo imekubwa na natural catastrophies na serikali ikawajengea nyumba?? Kazi ya serikali ni kuwalinda wananchi wake na ndo maana walihakikisha wanazima umeme na kutoa nyama za umeme ziluzohatari,kuwapa msaada wa kiafya wale walio mahospitalini na kutoa majeneza sasa wewe mwenye uelewa embu tupe tathmn yako ulitaka nchi ifanye nini???.

Afu wakati unatupa hyo tathmn tuambie ni mwaka sasa sehemu ambapo ukawa inaongoza nini cha tofauti mmeshafanya ama hata maendeleo gani mmefanya.
Zaidi ya majimbo yenu mengi kuongoza kwa mambo ya hovyo la kwanza likiwa hai,mbeya na Arusha
Kwa hiyo ile hela ilikusanywa ya kuondoa waya za umeme na kuwalinda walioathirika kwa tetemeko? Ninasikia kichefuchefu nikisoma ulichoandika. Lakini niseme tu: we are told that many Tanzanians are crazy and surely you are one of them!
 
Wanakera watu ambao wanaamini wanafam afu kumbe hawajui chochote aje atuambie labda anaweza kua anauelewa.
povu hilo, hela za kagera ni za wasamaria wema, wakiridhika wahangs wajengewe kuna tatizo gani? kukitokea janga lingine tutachanga tena.
 
sumaye sio peke yake anamiliki ardhi kubwa wapo wanene ccm wengi ni malandlord lakin hawaguswi kwa kuwa issue ni kulipiza
Ila Mpwa ulichangia sana kudhoofisha harakati za ukombozi, ulitutukana sana. Hata hivyo Mungu ni mwaminifu kuliko Mimi, Leo amekupa ujasiri wa kujitokeza na kuupinga ukatili wa Yohana. Hongera sana ila nitafurahi kama Utakuja kutoa Uzi wa kuomba radhi Kwa Yale maumivu uliyotusababisha
 
Hivi wewe na ugreat thinker wako unaweza kujenga bondeni?Kwani lazima uishi kinondoni?
Kwa hiyo wasibomolewe kisa wamepelekewa umeme na maji?
Kabombe, mimi siwezi kujenga bondeni kwa sababu Mungu kanijalia uwezo wa kujenga maeneo rasmi hata kama ni mbali na mjini. Hii ni kwa vile bado uwezo wa kufika mjini ninao.
Tuwe na utu kidogo na kuwaangalia hawa wenzetu wa kipato cha chini na uhitaji kwa jicho la huruma. Unadhani wao hawapendi kujenga maeneo mazuri? Au mbali na mji? Hapana wanapenda sana ila wengi hawawezi gharama hizo na hata uwezo wa kufika kwenye shughuli zao mjini ni shida hivyo wanakwenda na kurudi kwa miguu kwa kushindwa gharama.
Nakuhakikishia bonde hilo lingekuwa maeneo ya Kawe au Kinyerezi hungeona yeyote anajenga zaidi ya kulima mchicha.
 
Jina lako linakusadifu,
Jiongezeee.kukaa mabondeni sio sababu ya mafuriko.Bali miundombinu mibovu...kama ulikuwepo miaka ya 70,ulishawahi kuona jangwani kuna mafuriko?mafuriko yameanza baada ya miundo mbinu kuharibiwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sasa wewe pale bondeni kwa uono wako wa kibavicha unadhani panastahili kuishi binadamu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ulitaka waishi wanyamaa.kukaa mabondeni sio sababu ya mafuriko.Bali miundo mbinu mibovu.
 
Akimuweza mama Yule wa mikocheni TAG na yule rais wa nchi jirani basi mbezi itakuwa sehemu nzuri!
 
Kumtoa mbowe bills
Kuondoa weteule wa jk hata wenye uwezo
Kuchukua shamba la Sumaye
Tanroads haiguswi(malaika)
=Nchi kufilisika
 
Kweli wewe Busara hauna kuendelea kulea watu wa aina yenu ni ujuha.

Ivi hao wa bonden si ndo kila mara wanakubwa na mafuriko na kulalamika.

Aya wa kagera ulitaka wajengewe nyumba ama wapewe msaada gan?? Hakuna utaratibu dunian kote kama huo ukijengea leo hao kesho watakuja wengine wamekubwa na mafuriko nyumba zimeanguka mtasema wajengewe na wao. Embu tupe mfano wa nchi ambayo imekubwa na natural catastrophies na serikali ikawajengea nyumba?? Kazi ya serikali ni kuwalinda wananchi wake na ndo maana walihakikisha wanazima umeme na kutoa nyama za umeme ziluzohatari,kuwapa msaada wa kiafya wale walio mahospitalini na kutoa majeneza sasa wewe mwenye uelewa embu tupe tathmn yako ulitaka nchi ifanye nini???.

Afu wakati unatupa hyo tathmn tuambie ni mwaka sasa sehemu ambapo ukawa inaongoza nini cha tofauti mmeshafanya ama hata maendeleo gani mmefanya.
Zaidi ya majimbo yenu mengi kuongoza kwa mambo ya hovyo la kwanza likiwa hai,mbeya na Arusha
Huyu ndiyo mbumbu kabisa.

USA kunapotokea majanga, tathimini hufanyika kuangalia ni namna gani watu wameathirika na aina mahitaji ya walioathirika, na kisha misaada hutolewa kwa kuzingatia athari. Kama nyumba zimebomoka, wapo wanaopewa grants, wapo wanaopewa mikopo bila riba, na wapo wanaolipwa na bima. Lakini pia wapo wanaopewa compensation kutokana na sehemu zao za ajira kupotea. Wapo wanaopewa misaada ya elimu inapothibitika uwezo wao wa kugharamia elimu umepotea kutokana na vyanzo vya mapato kuathiriwa na majanga ya kiasili au hata yaliyotokana na uhalifu mkubwa.

Si lazima tufanye kama USA lakini tuna uwezo wa kufanya kulingana na uwezo wetu. Tukathibitisha kwa vitendo kuwa sisi ni jamii iliyostaarabika na inayothamini utu wa kila mmoja.
 
Back
Top Bottom