Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Ulipo Tupo our Hon President, piga kazi 2020 inshallah! hakutokuwa na haja ya kufanya kampeni
 
Ni international figure haguswi na ni msafi kuliko wasafi wote ktk serikali hii.
Mamvi linajulikana kwa wizi hata lema alishawahi kusema ni heshima kwa Mungu kulizomea na pia chadema mlisema inabidi liuawe kwa kuchomwa moto, pia wikileak wanajua ni jizi la wezi, ndiyo maana linatakiwa likatumikie kifungo jela. Tena mlaaniwe sana nyie mliokuwa mnataka kutuchagulia jizi,
 
Ni kama kachukua nchi mkononi mwa mkoloni
Tunaanza upya kuijenga nchi

Nasikia RAISI Wetu hapendi upendeleo Wa familia
Hata mtoto wake anasoma Shule ya kata.
Hili nitaamini Tu endapo yule February
Atapigwa chini kwenye uwaziri.kwanini yule jamaa ni WAZIRI?
Raisi amesema hachanganyi serikali na siasa.Namuombea kwa mungu approve hapo kwa kuanzia na hyo jamaa.
Wewe unapenda aanzie wapi?

Nitamuona wa maana kama atawapiga chini kina January, riz, nyalandu
 
Jamani nyumba za serikali muulizeni Sumaye, yeye ndio alikuwa PM kipindi hicho. Magufuli alikuwa dagaa tu.

Sawa, sasa kawa Nyangumi...arudishe Nyumba za serikali la sivyo wengine tu namuona msanii tu!
 
Tanzania yangu hii ninachoipendea hua haichelewi kusahau
 
Magufuli ni zaidi ya Nyerere kiutendaji.Kiutendaji so far huwezi kumfananisha Pombe na any african leader.Mchonga alijaa nadharia ambazo ziliwafanya watanzania hatimaye kuwa maskini wa kutupwa.Jinsi Magufuli anavyokwenda,I can see Tanzania being the envy of the world.
Watanzania wamehusisha uwezo binafsi alionao mgombea nafasi ya urais kupitia CCM ,kuwa sambamba na wa mwalimu Nyerere kutokana na wote hao kuvunja rekodi za kiutendaji kila sekta waliyopata ongoza.

Hata hivo wote wanasifa za kukemea ufisadi, udini, ukabila na ukanda. Mwalimu Nyerere alichukia sana watu wabinafsi wanaotanguliza udini na ukanda,alichukia watu wente tamaa na kulilia uongozi.

Utendaji na uwezo wa kifikra wa Dr Magufuli umefananishwa kwa kiasi kilubwa na wa mwalimu.
 
viva Magufuli. ... tunaona utendaji wako....ZITTO amesema ukiona mtu anamponda Magufuli huyo anatetea MAFISADI
 
Ni Rais pekee ambae waweza sema anamuenzi baba wa taifa kwa dhati kabisa!Najiuliza tokea rais wa awamu ya pili angeingia na mtiririko huu hakika tungekua pengine sehemu tafauti na tulipo maendeleo kiuchumi/kijamii,Mwl nyerere aliwahi kua anatoa sehemu ya mshahara wake kila mwezi uingie ktk Tanu,Magufuli alipotembelea hosp Muhimbili alijitolea kughalimia vipimo vya mashine kwa mgonjwa mmoja asie na uwezo kwa mshahara wake,pamoja na yote yaliofuta yametutia moyo wengi ikiwa ataendeleza kasi hiyo,na sijui nipigie debe wapi lile wazo la Magufuli atengeneze special numbers za huduma za money transifer(M-Pesa)zisajiliwe watanzania tuanze kutupia chochote humo ili kuonyesha sapoti kumtia nguvu nae atumie pesa hizo pale ambapo ataona anahitaji kutoa msukumo japo huenda serikalini ana fungu...hii ingesababisha hata taasisi tafauti mf mabenki,viwanda na makampuni watu binafsi kuchangia chochote..
 
Mambo hayo hayo alifanya kikwete alipoingia madarakani, na nyimbo akatungiwa kuitwa nabii kapatikana kuokoa Tanzania,
Tusijitambe tuwe na subira kidogo mda ndio utatujibu matatizo yetu yanataturika au rahashaa
 
Mambo hayo hayo alifanya kikwete alipoingia madarakani, na nyimbo akatungiwa kuitwa nabii kapatikana kuokoa Tanzania,
Tusijitambe tuwe na subira kidogo mda ndio utatujibu matatizo yetu yanataturika au rahashaa

Kweli MKUU! Watanzania tu wasahaulifu sana
 
Mambo hayo hayo alifanya kikwete alipoingia madarakani, na nyimbo akatungiwa kuitwa nabii kapatikana kuokoa Tanzania,
Tusijitambe tuwe na subira kidogo mda ndio utatujibu matatizo yetu yanataturika au rahashaa

Jambo gani alifanya JK na tukam-support? Vuta hiyo thread hapa, tangu JK aingie hii forum ipo ie Jambo Forum then Jamii Forum. Wacha uongo! Mabillioni ya JK tulikuwa tunamlaani humu.
 
Back
Top Bottom