Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Nyerere hakuwahi kumteua mtu aliyekataliwa kwenye Kura, kuwa kiongozi wa umma
 
Sokoinne-M.mchembe kafia wapi nae.

Nyerere kapigwa zege kali kwa resho ya kimataifa kutoboa hawezi.muacheni apumzike kwa amani.
 
The president we have been looking for.Mimi ningependa ambane waziri wake wa elimu ahakikishe issue ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inatulia na waziri atakayehusika na mazingira ashughulike kikamilifu na mabaa na madanguro kwenye makazi ya watu kwa afya ya maadili ya watoto wetu.
 
Tusubiri tuone , wakati ndio utasema. Nampongeza rais Kwa bidii anayofanya
 
Nyerere alichangia kuchelewesha maendeleo kwa kuweka kipengere kuwa wasukuma wasipewe nafasi kuwa watawala kwa kuwa ni Kabila kubwa, hakujua kuwa wasukuma huwa hawayumbishwi katika maamuzi, sasa JIPU limepata mkamuaji, watanzania wajiandae kuwa waadirifu kwa mali za umma na za binafsi, nchi ina kwenda sayari tofauti, sasa in wakati WA kufaidi almasi, dhahabu, gesi mafuta, utalii na urenium. Magufuli in scientist ni mara ya kwanza kutawaliwa na Mathematician.Always numbers do not lie
 
Tumetamani muda mrefu hatimaye tumempata tuliyemtamani.wavivu WA kufikiri kazi kwenu mlizoea vya kunyonga
 
Mkuu, utaniwia radhi kama nimeelewa vibaya...kwani huyo kijana kama anafanya kazi vizuri kuna tatizo gani??..hatuwezi kumnyima dmtu cheo kama sifa anazo eti kwasababu baba yake alikuwa mtu fulani!!
yule ni mwanasiasa sio mtendaji
Abaki kwenye siasa
 
Ni kama kachukua nchi mkononi mwa mkoloni
Tunaanza upya kuijenga nchi

Nasikia RAISI Wetu hapendi upendeleo Wa familia
Hata mtoto wake anasoma Shule ya kata.
Hili nitaamini Tu endapo yule February
Atapigwa chini kwenye uwaziri.kwanini yule jamaa ni WAZIRI?
Raisi amesema hachanganyi serikali na siasa.Namuombea kwa mungu approve hapo kwa kuanzia na hyo jamaa.
Wewe unapenda aanzie wapi?

hata kikwete alianza hivyo hivyo
 
Ni kama kachukua nchi mkononi mwa mkoloni
Tunaanza upya kuijenga nchi

Nasikia RAISI Wetu hapendi upendeleo Wa familia
Hata mtoto wake anasoma Shule ya kata.
Hili nitaamini Tu endapo yule February
Atapigwa chini kwenye uwaziri.kwanini yule jamaa ni WAZIRI?
Raisi amesema hachanganyi serikali na siasa.Namuombea kwa mungu approve hapo kwa kuanzia na hyo jamaa.
Wewe unapenda aanzie wapi?

hata kikwete alianza hivyo hivyo mkamwita jk wa pili
 
Mkuu, utaniwia radhi kama nimeelewa vibaya...kwani huyo kijana kama anafanya kazi vizuri kuna tatizo gani??..hatuwezi kumnyima mtu cheo kama sifa anazo eti kwasababu baba yake alikuwa mtu fulani!!

Tujiulize kafikaje hapo alipo?
So far, amechangia lipi la maana katika taifa hili?
 
Nadhani hata wale waliombeza sasa wanaona kazi yake. Viva Magu.
 
Wee chachu ombara acha uongo, nyerere uwezi kumfananisha hata nusu na magufuli, magufuli anafanyakazi na ni mtekelezaji na huyo nyerere alikuwa sio hivyo unavyofikiri pia nyerere alitawala aina furani ya watu ambayo ni vigumu kuielezea na magufuli anatawala kizazi kipya chenye maono, elimu. Na matumaini ya hali ya juu. We kama una mahaba na nyerere mtungie kitabu kama wanavyofanya wenzio wenye mahaba nae.
 
Hivi tofauti ya mwanasiasa na mwanasayansi inaweza kuwa kigezo cha moja kuwa kiongozi na mwingine kubakia tu taaluma aliyosomea?
 
Mwigulu naye alifananishwa na Sokoine pia!
Nyerere nilishamuona pia akifanya yafuaayo;
1. Akipiga push ups jukwaani
2. Akitokea juu ya roof
3. Akiruka ruka jukwaani

Angrkuwepo nyerere ccm haikuwa na mgombea.
 
Hapana.Hajamfikia Mwl.Nyerere kwa upeo wa fikra.
Angekuwa ni Nyerere angetoa ufafanuzi wa kina kuhusu sakata la Zanzibar.
 
Magufulia akemea rushwa, udini, ukanda na tamaa ya madaraka kama alivokuwa mwalimu.Jiulizeni huko ukiwa hali ipoje? Kama tu mmeshindwa kugawana majibo,udiwani kesho serikali ndo mtaweza, hampo serious

Ukawa walikosea sana kushindwa ku settle haya mambo
 
Back
Top Bottom