Watanzania wamehusisha uwezo binafsi alionao mgombea nafasi ya urais kupitia CCM ,kuwa sambamba na wa mwalimu Nyerere kutokana na wote hao kuvunja rekodi za kiutendaji kila sekta waliyopata ongoza.
Hata hivo wote wanasifa za kukemea ufisadi, udini, ukabila na ukanda. Mwalimu Nyerere alichukia sana watu wabinafsi wanaotanguliza udini na ukanda,alichukia watu wente tamaa na kulilia uongozi.
Utendaji na uwezo wa kifikra wa Dr Magufuli umefananishwa kwa kiasi kilubwa na wa mwalimu.
Hata Mwl Nyerere kashtuka uko alipo, kwa jinsi ulivyomdhihaki.