Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Yan upuzi wa magufuri uufananishe na busara za mwl..kwel umerogwa
 
Hongera Magufuli Kwa kushinda urais wa awamu ya tano
 
Mgombea urais kupitia CCm,John pombe MAgufuli amefanqnishwa na rais wa kwnza mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa utendaji wake uliotukuka na wenye tija kwa maendeleo ya TAifa
 
najihisi tutakuwa na usimamizi kama wa baba wa taifa, nchi yetu ikiwa chini ya magufuli
 
Magufuli ni zaidi ya kiongozi atasaidia sana taifa letu.
 
Acha upuuzi, lini Nyerere aliwahi kupiga push-up na kubinua makalio kwenye majukwaa ya siasa, au kutokea dirishani kwenye gari lake; kama afanyavyo Makufuli? Nyerere hakuwa kama Makufuli asiyejua hata majina ya Marais wa Libya, Iraq, na Kuwait! Poor you, acha kufananisha kichuguu na Mlima Kilimanjaro!
 
Mgombea urais kupitia CCm,John pombe MAgufuli amefanqnishwa na rais wa kwnza mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa utendaji wake uliotukuka na wenye tija kwa maendeleo ya TAifa

1. Nyerere aliwahi kuuza nyumba za serikali bila kutumia akili na kusababisha hasara kwa serikali kwa watumishi wake kulala mahotelini?
2. Nyerere aliwahi kukamata meri za samaki bila kutumia akili na kulisababishia hasara taifa kwa kulipa mabillion baada ya kushindwa kesi?
3. Nyerere aliwahi kuwa mbali na mke wake katika harakati zake za kisiasa?
4. Nyerere aliwahi kuwatolea lugha ya dhihaka wananchi wake kama alivyofanya Magufuli kwa wananchi wa Kigamboni?
5. Nyerere aliwahi kujihusisha na upotevu wa fedha nyingi Billion 262 katika taasisi aliyokuwa akiiiongoza?

**Hakuna wa kumfananisha na Nyerere kwa sasa, kwa mtu kujifananisha nae ni kumdhihaki na kutia najisi heshima ya Mwalimu Nyerere.**
 
Mgombea urais kupitia CCm,John pombe MAgufuli amefanqnishwa na rais wa kwnza mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa utendaji wake uliotukuka na wenye tija kwa maendeleo ya TAifa

Mwigulu naye alifananishwa na Sokoine pia!
Nyerere nilishamuona pia akifanya yafuaayo;
1. Akipiga push ups jukwaani
2. Akitokea juu ya roof
3. Akiruka ruka jukwaani
 
Mgombea urais kupitia CCm,John pombe MAgufuli amefanqnishwa na rais wa kwnza mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa utendaji wake uliotukuka na wenye tija kwa maendeleo ya TAifa
Edward Ngoyai Lowasa afananishwa na Nelson Madiba Mandela kwa utendaji wake hasa kwa kutetea walala hoi masikini
 
Waliomfananisha na Nyerere ni kina nani? Thread za vilaza wa Lumumba taabu tupu, hazina content inayopaswa kuwepo kwenye habari. Kosa la Kilaza aliyewapa hiyo kazi!
Vijitu vyenyewe vinavyomwongelea Nyerere vimebalehe jana,hata kumjua havimjui
 
Kakojoe ulale naona unasinzia.Hivi nyerere aliwahi kupiga push ups hadharani tena kwenye mkutano? Nyerere aliwahi kupita kwenye roof ya gari? Nyerere hajui kiswhili kama magufuli wenu? Then Nyerere alitoa hotuba kwa kilugha? Fool!!!
 
Watanzania wamehusisha uwezo binafsi alionao mgombea nafasi ya urais kupitia CCM ,kuwa sambamba na wa mwalimu Nyerere kutokana na wote hao kuvunja rekodi za kiutendaji kila sekta waliyopata ongoza.

Hata hivo wote wanasifa za kukemea ufisadi, udini, ukabila na ukanda. Mwalimu Nyerere alichukia sana watu wabinafsi wanaotanguliza udini na ukanda,alichukia watu wente tamaa na kulilia uongozi.

Utendaji na uwezo wa kifikra wa Dr Magufuli umefananishwa kwa kiasi kilubwa na wa mwalimu.

Wewe ukapimweeeee!!!!!!!! haraka sana
 
Jumapili ni
 
Attachments

  • 1445335886420.jpg
    1445335886420.jpg
    17.5 KB · Views: 104
Back
Top Bottom