Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

Wewe unayepinga kuwa magufuli hana sifa ya kuwa rais tunakufahamu kuwa umetumwa na ukawa kwa ahadi ya kuwekewa mafuta kwenye boda boda yako,huna hoja coz hujaainisha sifa zipi alizonazo huyo fisadi wenu aliyewanunua kwa vijisenti eti akipata madaraka tu wote mnakuwa matajiri,mnadanganywa tu, jitoe huko ukawa ni sawa na kujiweka kwenye mdomo wa mamba,hivi unajua chanzo cha utajiri wa lowassa au unamsifia tu kwamihemko yako,huyo ni fisadi hana hata sifa ya kusogea magogoni,watanzania wengi hatudanganyiki tumeamka tuntambua nani anatufaa nani hatufai, magufuli ndio mpango mzima,wewe baki huko shimoni ulipo,nakuhurumia,njoo nikuvute mkono,maskini umenunuliwa kwa buku tano tu
 
Magufuli hoyeeee......tuko nyuma yako kamanda,songa mbele kura tutakupa sisi wapenda maendeleo wote tunaunga mkono juhudi zako za kutupeleka nchi ya asali na maziwa,wewe ndiwe kiongozi wetu,ukawa wanakusafishia njia na watakutandikia vitenge na kanga baada ya tarehe 25 oktoba
 
Wewe wacha kumvunjia marehemu baba wa taifa heshima,huwezi kumlinganisha Mwl jk na huyo fisadi nakukanya husirudie tena swaini
Tatizo lenu ni kuwa mmepofushwa hata mazuri hamuyaoni, mmekuwa viziwi hata mema hamyasikii. Kwa mtu mwenye akili ya kawaida kama wewe inabidi utambue kuwa Dr. Magufuli ni mchapakazi na mzalendo kama alivyokuwa Mwalimu.
 
Tatizo lenu ni kuwa mmepofushwa hata mazuri hamuyaoni, mmekuwa viziwi hata mema hamyasikii. Kwa mtu mwenye akili ya kawaida kama wewe inabidi utambue kuwa Dr. Magufuli ni mchapakazi na mzalendo kama alivyokuwa Mwalimu.

Haijawahi na haitotokea,mlinganishe magufuri na nyerere wa vichekesho
 
Sera zikiisha mnaanza kutumia MAJINA ya mashujaa waliopita vibaya eenh...

Ata mkisema anafanana na mungu, sio chaguo letu.
 
Watanzania wamehusisha uwezo binafsi alionao mgombea nafasi ya urais kupitia CCM ,kuwa sambamba na wa mwalimu Nyerere kutokana na wote hao kuvunja rekodi za kiutendaji kila sekta waliyopata ongoza.

Hata hivo wote wanasifa za kukemea ufisadi, udini, ukabila na ukanda. Mwalimu Nyerere alichukia sana watu wabinafsi wanaotanguliza udini na ukanda,alichukia watu wente tamaa na kulilia uongozi.

Utendaji na uwezo wa kifikra wa Dr Magufuli umefananishwa kwa kiasi kilubwa na wa mwalimu.

1. Nyerere aliwahi kuuza nyumba za serikali? Jibu ni hapana yeye alizijenga.
2. Nyerere aliwahi kugawa Mali ya serikali kwa hawala yake?
3. Nyerere aliwahi kuchukua maamuzi ya kukurupuka akalitia hasara taifa kudaiwa mabillion ?.
4. Nyerere alijilimbikizia Mali? Magufuli ana hotel kubwa, Amejimegea eneo kubwa Kyle Chato na kujenga nyumba kama estate, Jengo la Halmashauri nasikia in la kwake ameipangisha Halmashauri.

**Ni vema tukaacha ujinga wa kumfananisha Nyerere na hizi zao za mafisadi na ndio maana Mwigulu nae eti alijifananisha na Sokoine kitu ambacho ni kuwadhihaki hawa viongozi wetu waliotangulia mbele ya haki.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa mkali na asiyeficha pale ambapo uzembe wowote ulipotokea ndani ya chama chake na ndani ya serikali, alidhihirisha hilo katika mkutano mkuu wa kwanza wa CCM kupata mgombea urais katika mfumo wa vyama vingi.

Alimkataa mgombea ambaye alionekana kushabikiwa na wengi ndani ya CCM katika mkutano huo lakini kwa taarifa zlizoifikia kamati kuu ya CCM ikiongozwa na rais mstaafu mzee Mwinyi ni kwamba alikuwa ameshahonga wajumbe hao fedha kila mmoja na kuwaahidi vyeo ndani ya serikali na hivyo kuwafanya wawe loyal kwake kitendo ambacho kilijirudia juzi mkoani dodoma katika kikao cha halmashauri kuu ya CCM NEC .

Mwalimu alimkataa mgombea huyo hadharani kwa sababu hakustahili kuwa mgombea, alikuwa na utajiri mkubwa ndani ya mda mfupi baada ya kupewa uwaziri na alishindwa kujibu utajiri huo aliupataje, pale alipoulizwa.

Magufuli huyu wa leo kwanza kashaonyeshahakubaliani na uzembe wowote ndani ya serikali kwa kuyaeleza makosa hayo ambayo ni baada ya serikali inayoongozwa na mh kikwete kukaribia mwisho wake,aliyasema hayo pale jangwani katika ufunguzi wa kampeni zake.

Pia amekiri kuwa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi na wameshaanza kutoka baada ya yeye kuchaguliwa, na ameapa kuwashugulikia ndani ya CCM na ndani ya serikali.Magufuli kasema atadili na mafisadi na wazembe wote hasa ndani ya CCM na kukemea kama kuna yeyote mwenye mawazo hayo ajiandae akiingia madarakani.

Uso wake, na hata body language yake Magufuli inajipambanua kuwa ana misimamo na misingi ya kutokulea uzembe na kukemea ubaya wote ndani ya CCM na ndani ya serikali.

Tujiandae kumpokea mrithi wa Nyerere ili wanaowahadaa wananchi wajulikane na washugulikiwe hadharani.
 
Maropes strategy finally failed.... could you tell him to draw a new one please?

otherwise let you and the co be ready to accept the failure.
 
Kura ni kwa Lowassa umwone Magufuli ni kambarage au haragwe utajijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom