Unataka ayoke kwa kosa LA
1. Kutoa Elimu bure kuanzia Shule ya msingi mpaka kidato cha NNE?
2. Kujenga reli ya kati kwa Kiwango cha standard gauge ili kurahisisha usafiri kwa watanzania?
3. Kujenga kituo cha kufua umeme stiegler's gorge ili kuwa na umeme wa uwakika
4. Kutoa vitambulisho kwa wamachinga vinavyoghalimu 20,000 kwa mwaka sawa na 1,666 kwa mwezi sawa na 55 kwa siku ambapo zamani wajasiliamali walikuwa wanatozwa 500 kwa siku ambapo 15000 kwa mwezi na 75000 kwa mwaka mzima?
5. Kujenga vituo vya afya nchi nzima na kuhakikisha upatikani wa madawa hospital kwa wakati?
6. Kutoa mishahara kwa wafanyakazi wa umma kwa wakati?
7. Kuhakikisha Ulinzi na usalama kwa wananchi na Mali zao?
8. Kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma hata kupelekea huduma kutolewa kwa wakati?
9. Kuhakikisha Ujenzi wa miundombinu kama barabara za rami nchi nzima Leo swala LA vumbi linakaribia kuwa historia
10. Kuboresha huduma za jamii kama MAJI, umeme ambapo zinasaidia watanzania kujiimarisha kiuchumi
11. Kununua Ndege na kulifufua shirika LA Ndege kwa manufaa ya Tanzania sasa na baadae
12. Kudhibiti ujangiri kwa wanayama pole kuuwawa na watu wasio wazalendo
13. Kuondoa watumishi hewa na kudhibiti ulipwaji wa mishahara hewa ambapo Taifa lilikuwa linazidi kuingia kwenye hasara kubwa
14. Kujenga flyover ili kupunguza msongamano wa magari ili kuimarisha uchumi wa nchi
15. Kudhibiti uuzwaji wa madawa ya kulevya ambayo yalikuwa yakisababisha afya ya Vijana wetu kutetereka Ila Leo imekia historia.
Hayo ndo makosa Yake yaliyopelekea wewe utake aondoke?
Au nawe ulikuwa sehemu ya wapiga dili ambao wameathirika kwa Kiwango kikubwa.
Mungu akusamehe wewe na kizazi chako
Sent using
Jamii Forums mobile app