Magufuli na CCM yako Must Go

Magufuli na CCM yako Must Go

nyie watu mnamshabikia magufuli mna matatizo makubwa sidhani kama huyu angekuwa mwanao ungeweka hizi takataka hapa kwani huyu bint ni chadema naweza kukuita mbwa kabisa wewe natamani siku moja mke ndugu na jamaa yako aumezwe ndo akili itakaa sawa maandamano huwa nanatulizwa na silaha za moto? si walileta magari 700 ya kutuliza ghasia kwanini walitumia za moto
 
Utawala wa JPM ni aibu kwa Afrika Mashariki nzima - Gavana wa nchini Kenya.

Kwa ujumla machache mazuri aliyoyafanya hayana ulinganifu na mengi ya hovyo aliyoyatenda.
 
Nyinyi mnahangaika huo muda wa kuandka hii post ungekagua madaftar ya wanao
Hao watoto wanahitaji siasa safi ili baadaye waishi maisha bora na ya kistaarabu; hawa hawa wapora mabox ya kura ndiyo wanaokwenda kutunga sera ya elimu ya mwanao; fikiri nje ya box chief .
 
Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania

Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-

kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma

kuporomosha uchumi wa Nchi

Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa

kuzuia ajira

Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani

Kununua viongozi wa upinzani

kutuma police wauwe watu

Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa

kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%

Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300

kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako

Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.

Taratibuuuuuu
 
Hivi sasa mahindi ya Tanzania yanauzwa wapi baada ya Kenya kupata mbadala? Na bei kwa gunia moja ni shs ngapi? Pia mwenye mrejesho wa bei ya Mbaazi kwa kg 1 au gunia ni shs ngapi?
 
Hama nchi, ni haki yako mkuu. Ndio tatizo la kuishi ktk mitandao ya kijamii. Mtu ukiwa nje alafu usome ktk mitandao ya kijamii unaweza sema kuna state of anarchy, kumbe kiuhalisia mambobyako salama zaidi ya jana.
Inajulikana mmepigwa pini kila mahali sasa mnahaha.
Watahama wangapi na mtabaki wangapi?
 
Tungekua na Bunge linalojitambua..Huyu angeshapigiwa Kura ya kutokuwa na Imani nae..Tatizo Waliyo Wengi ndani ya Bunge ni CCM ..Serikali ya Hovyo Sana hii..
 
Back
Top Bottom