Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,075
#TunduLissuForPresidency2020Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania
Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-
[emoji117] kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma
[emoji117] kuporomosha uchumi wa Nchi
[emoji117] Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa
[emoji117] kuzuia ajira
[emoji117] Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani
[emoji117] Kununua viongozi wa upinzani
[emoji117] kutuma police wauwe watu
[emoji117] Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa
[emoji117] kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%
[emoji117] Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300
[emoji117] kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako
Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
#MaguMustGo