Magufuli na CCM yako Must Go

Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania

Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-

kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma

kuporomosha uchumi wa Nchi

Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa

kuzuia ajira

Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani

Kununua viongozi wa upinzani

kutuma police wauwe watu

Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa

kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%

Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300

kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako

Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
Una mawazo ya mfupa mbwa anayefuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania

Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-

kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma

kuporomosha uchumi wa Nchi

Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa

kuzuia ajira

Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani

Kununua viongozi wa upinzani

kutuma police wauwe watu

Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa

kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%

Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300

kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako

Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
He must perish
 
Shida ya kunywa ulanzi uliochacha ndio hizi,wewe ndugu sijui uko sayari gani au sababu ya hivyo visimu smartphone basi inabidi tu uandike uharo wako hapa,peleka stress zako kwenye SACCOS yenu,kwanza wewe ni nani nchi hii,hilo ni dua la kuku,CCM na serikali yake tuna miaka 100 mingine ya kuwanyosha watu kama nyie,lazima mufanye kazi,mambo ya kuamuka asubuhi kwenda bandarini una elfu moja na unarudi na milioni 10 bila kufanya kazi yoyote ,kwa sasa sahau.Mtachanganyikiwa sana.
Unaongea kama umenyewa mdomoni. Kwa damu hizi, CCM haina hata miaka 10 ya kutawala hapa!!!
 
Kabla ya kuandika kwenye mtandao na kuweka tuhuma dhidi ya Raisi na Chama tawala hasa katika awamu hii inakubidi uwaze mara mbili.
Zipitie sheria za mitandao na sheria zinazohusu uchochezi na pia iangalie familia yako kwa jicho la huruma.Upepo huu si wa kutiririka hivi ndugu yangu.Waza mara mbili la kutamka hata ukiwa peke yako kwani kumbuka hata ukuta una masikio!!
Sheria za mitandao na uchochezi zisitumike kuwafumba midomo vijana ambao ni taifa la leo Na kesho. Kwani hizi sheria zilitungwa ili kuwanyamazisha watanzania wa leo na kesho! I think it's a wrong perception!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania

Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-

kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma

kuporomosha uchumi wa Nchi

Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa

kuzuia ajira

Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani

Kununua viongozi wa upinzani

kutuma police wauwe watu

Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa

kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%

Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300

kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako

Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
Ubaguzi kwa misngi ya kanda na ukabila?
 
Uliyooorodhesha yote ni very shaky.La msingi ni kwamba mmezoea ustaarabu wa kuiba,kutumia vyeti fake,madili nk.Sawa bwana.
 
Mkuu mleta uzi andika maumivu. Huyu ni mpaka 2025 panapo uhai.
 
Uliyooorodhesha yote ni very shaky.La msingi ni kwamba mmezoea ustaarabu wa kuiba,kutumia vyeti fake,madili nk.Sawa bwana.
Ni kweli kabisa kaorodhesha vitu vyepesi sana. Walizoea maisha ya udalali ya ubwete, wiki nzima wanashinda kijiweni na simu mkononi, ikifika ijumaa jioni wanaingia bar kwa maringo wakitembea kwa kunesanesa.
 
Back
Top Bottom