Magufuli, Makonda anakupoteza

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
....Mie naomba tu niwe mkweli,

...Magufuli,Makonda anakupoteza,

...Kumbuka yeye anarepresent serikali yako,

..yeye ni wewe at lower level????

...yeye akitoa matamko yake,yasiyotekelezeka,wananchi wanaona ni wewe umefeli kwa kuwa wanadhani ,yote anayoyafanya yametoka kwako(sijui kama yanatoka kwako or not)lol

...yeye hafanyi vitu kwa utafiti,na anapenda media,

....wrong qualities for the office,

....ona sasa anavyoitikisa nchi na kukuweka in vulnerable position?!mara Manji,mara Mbowe mara Machinga.......angalia hivyo vitatu kama hautaona kuinvolve aggressively serikali,ni ku GAWANYA wananchi mliowahaidi kuwatumikia..................

....haya mkuu,nishekuonesha weakest link,lol

...Makonda labda umuhamishe,umpe kitengo mbali na media,lol
 
Nilishasema kwa kipindi hiki mhitimu wa miaka 21 wa levo ya stashahada hajawahi kufanya kazi popote akigewa mkoa auongoze ataongoza na mashabiki wa chama, watu wenye PhD, mashehe na mapadri watasema "Huyu kijana ni mashine"
 
....Mie naomba tu niwe mkweli,

...Magufuli,Makonda anakupoteza,

...Kumbuka yeye anarepresent serikali yako,

..yeye ni wewe at lower level????

...yeye akitoa matamko yake,yasiyotekelezeka,wananchi wanaona ni wewe umefeli kwa kuwa wanadhani ,yote anayoyafanya yametoka kwako(sijui kama yanatoka kwako or not)lol

...yeye hafanyi vitu kwa utafiti,na anapenda media,

....wrong qualities for the office,

....ona sasa anavyoitikisa nchi na kukuweka in vulnerable position?!mara Manji,mara Mbowe mara Machinga.......angalia hivyo vitatu kama hautaona kuinvolve aggressively serikali,ni ku GAWANYA wananchi mliowahaidi kuwatumikia..................

....haya mkuu,nishekuonesha weakest link,lol

...Makonda labda umuhamishe,umpe kitengo mbali na media,lol
Amekukwamishia biashara yako ya unga'nini!
Hauwezi kukurupuka from no where kuanza kuponda juhudi kubwa za kukomesha mihadarati zinazofanywa na kiongozi huyo.
Huangalii media na "kuchanganya na zako"?
Wanayoyafanya, kwa waTanzania tulio wengi tunayapenda na tunawaunga mkono sana. Hapo "credit" zao zinazidi kuongezeka na Mungu awaongezee.
 
Hajakwamisha biashara ya unga ameipa promo na kuwataahadharsha watu wasikamatwe
 
Amekukwamishia biashara yako ya unga'nini!
Hauwezi kukurupuka from no where kuanza kuponda juhudi kubwa za kukomesha mihadarati zinazofanywa na kiongozi huyo.
Huangalii media na "kuchanganya na zako"?
Wanayoyafanya, kwa waTanzania tulio wengi tunayapenda na tunawaunga mkono sana. Hapo "credit" zao zinazidi kuongezeka na Mungu awaongezee.

unadhania biashara ya madawa ilianza leo?,

sitetei wahalifu,

ila the way you approach this issue is a problem,

kwenda kutangaza kwenye vyombo vya habari,

ni sawa na kutaka kumuonyesha mtu kuwa ni boss and he has a final say,

makonda alidhania amepata mahali excercise his power....

aonekane mchapa kazi,

hajui anamdhalilisha mkuu,

anazidisha uadui kati ya wananchi na mheshimiwa Rais Magufuli,

alianza kwa wasanii,mtu kama wema alivyo na influence kwa watu?!.....kuna watu watakua walichukia kuona kipenzi chao kwenda kulala selo.....

akaja kwa Gwajima,nae kutakuwa na 'waumini' amewagawanya au kuongeza chuki kwamheshimiwa rais

akaja kwa Manji,hapo napo kuna aliowagawanya,wapenzi wa soka

anakuja Mbowe,napo wanaomkubali kisiasa watachukia na kumchukia rais,

wamachinga pia,watapata picha serikali sio ya wanyonge,

akaja kwa mashoga,

************ worse haya matamko hayajengi picha nzuri ya rais,utadhani Makonda ndio rais,mmnh
 
Ili ujue kuna mushkeli mahala katika hii vita,mpaka leo nani kakamatwa na UNGA ? zaidi ya kete 1 au 2 tena zinaachwa makusudi ili kujisafisha.Unapomtaja mtu hadharani unampa nafasi au muda wa kuficha ushahidi kabla hajakamatwa au kupekuliwa.

wote walioitwa ni punda tu je wenye mizigo yao wako wapi????????
 
Back
Top Bottom