Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

Sasa hayo ya kupambana na CCM wenzake sisi Watanzania yanatuhusu nini?

Wangeyaongea hukooooo kwenye vikao vyao vya chama...
 
MAGUFULI AWAPA VIGOGO CCM WAKATI MGUMU!

Mgombea wa urais kupitia CCM, DR JOHN POMBE MAGUFULI,KTKA UONGOZI WAKE,

Asema atafumua mfumo wa utendaji ndani ya Chama

Akerwa na vigogo kuwabeba watoto wao katika nafasi za uongozi

Zikiwa ni takribani siku 20 zimepita toka pazia la kampeni za uchaguzi mkuu zianze mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli akutana na katibu mkuu wa chama hicho ambaye pia ndiye mwenyekiti wa kampeni za chama hicho na kumpa mambo anayotaraji kufanyika.

Dkt. Magufuli ni mmoja ya mawaziri wanaoogopwa sana kwa misimamo hata na Rais mwenyewe kwa jambo analoliamini analifanya kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu. Amemuekeza Kanali Kinana kuwa moja hatapenda kuiona familia yake ikishiriki katika kampeni za urais kwani sitaki familia yangu kujihusisha au kujinasibisha na urais wa nchi. Nataka nikapambane kufuta hili lililojengeka kwa watoto wa vigogo kubebwa kwenye nafasi za uongozi hata ajira na kuwaacha watoto wa watanzania maskini wakiwa mitaani eti kwa sababu hawana wa kuwashika mikono haki ya Mungu hili nitapambana nalo ili chama hiki kiwe cha wote na nchi hii iwe ya wote.

Hivyo mke wangu naomba aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao na hata ndugu zangu. Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno.

Asema kabla hajaapishwa anataka Chama chake kiandae utaratibu wa kuwabana wabunge wake hususani kupata ripoti za kila mwezi za kila mbunge juu ya utendaji wake kwa wananchi na mchango wake anapokuwa bungeni. Hii itasaidia kuwa na wabunge wanaochapakazi na kuwatumikia wananchi kuliki ilivyo sasa.

Amesema akiingia Oktoba utaratibu wa kuwapa misamaha ya kodi wabunge imewafanya wasahau majukumu yao na kujiingiza kwenye biashara wakati wanalipwa vizuri na wanapata posho kubwa sasa amesema atafuta misamaha hiyo ili wajikite kuwatumikia wananchi.

Asema atafumua utendaji wa chama kwa kukijengea chama uwezo zaidi kiuchumi ili watendaji wake na jumuiya zake walipwe vizuri na kuondoa michango ya gharama za kura za maoni na hata kuchangia gharama za uchaguzi kwenye majimbo ili kutoa fursa kwa vijana wanaotoka familia maskini kushiriki nafasi ya kuitumikia nchi yao kuanzia nafasi za mtaa, udiwani na ubunge hata urais. Pamoja na kufuta utendaji kazi wa mazoea.

Asema siku 100 za mwanzo zitakuwa za kufanya mageuzi makubwa ndani ya serikali yake na Chama. Asema kama kuna kiongozi aliyeshiriki ufisadi wowote ajiandae maana atakula nao sahani moja ili sheria ichukue mkondo wake.

Chanzo chetu cha habari kinasema hata hivyo Kanali Kinana na Philip Mangula wamemuleza kumuunga mkono kwani ni mtazamo mzuri na watampa ushirikiano japo hautawapendeza wengi.

KWELI MAGUFULI NI JEMBE,KATAPILA: HAPA NI KAZI TU.

magufuli hana huo ubavu
 
Hana Ubavu Huo.. Bado Hajajitambua Kuwa Anatembea Amefungwa Kamba Na Ncha Ya Kamba Hiyo Imeshikwa Na Vigogo Wa CCM, Kila Atakapotaka Kwenda Mbele Zaidi, Vigogo Walioshika Hiyo Kamba Wataivuta.. Nae Atalazimika Kurudi Nyuma..
 
Anapaswa kuwaambia wenzake kwenye vikao vya chama chake....watanzania tunataka mabadiliko
 
Too late naona wameamua waje na hii LAKINI PIA IMESHAFELI
VIVA UKAWA
 
MAGUFULI AWAPA VIGOGO CCM WAKATI MGUMU!

Mgombea wa urais kupitia CCM, DR JOHN POMBE MAGUFULI,KTKA UONGOZI WAKE,

Asema atafumua mfumo wa utendaji ndani ya Chama

Akerwa na vigogo kuwabeba watoto wao katika nafasi za uongozi

Zikiwa ni takribani siku 20 zimepita toka pazia la kampeni za uchaguzi mkuu zianze mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli akutana na katibu mkuu wa chama hicho ambaye pia ndiye mwenyekiti wa kampeni za chama hicho na kumpa mambo anayotaraji kufanyika.

Dkt. Magufuli ni mmoja ya mawaziri wanaoogopwa sana kwa misimamo hata na Rais mwenyewe kwa jambo analoliamini analifanya kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu. Amemuekeza Kanali Kinana kuwa moja hatapenda kuiona familia yake ikishiriki katika kampeni za urais kwani sitaki familia yangu kujihusisha au kujinasibisha na urais wa nchi. Nataka nikapambane kufuta hili lililojengeka kwa watoto wa vigogo kubebwa kwenye nafasi za uongozi hata ajira na kuwaacha watoto wa watanzania maskini wakiwa mitaani eti kwa sababu hawana wa kuwashika mikono haki ya Mungu hili nitapambana nalo ili chama hiki kiwe cha wote na nchi hii iwe ya wote.

Hivyo mke wangu naomba aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao na hata ndugu zangu. Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno.

Asema kabla hajaapishwa anataka Chama chake kiandae utaratibu wa kuwabana wabunge wake hususani kupata ripoti za kila mwezi za kila mbunge juu ya utendaji wake kwa wananchi na mchango wake anapokuwa bungeni. Hii itasaidia kuwa na wabunge wanaochapakazi na kuwatumikia wananchi kuliki ilivyo sasa.

Amesema akiingia Oktoba utaratibu wa kuwapa misamaha ya kodi wabunge imewafanya wasahau majukumu yao na kujiingiza kwenye biashara wakati wanalipwa vizuri na wanapata posho kubwa sasa amesema atafuta misamaha hiyo ili wajikite kuwatumikia wananchi.

Asema atafumua utendaji wa chama kwa kukijengea chama uwezo zaidi kiuchumi ili watendaji wake na jumuiya zake walipwe vizuri na kuondoa michango ya gharama za kura za maoni na hata kuchangia gharama za uchaguzi kwenye majimbo ili kutoa fursa kwa vijana wanaotoka familia maskini kushiriki nafasi ya kuitumikia nchi yao kuanzia nafasi za mtaa, udiwani na ubunge hata urais. Pamoja na kufuta utendaji kazi wa mazoea.

Asema siku 100 za mwanzo zitakuwa za kufanya mageuzi makubwa ndani ya serikali yake na Chama. Asema kama kuna kiongozi aliyeshiriki ufisadi wowote ajiandae maana atakula nao sahani moja ili sheria ichukue mkondo wake.

Chanzo chetu cha habari kinasema hata hivyo Kanali Kinana na Philip Mangula wamemuleza kumuunga mkono kwani ni mtazamo mzuri na watampa ushirikiano japo hautawapendeza wengi.

KWELI MAGUFULI NI JEMBE,KATAPILA: HAPA NI KAZI TU.
Aanza kwa kuwaambia wananchi wa chalinze wasimchague Riz1,wananchi wa Bariadi wasimchague Chenge,Sengerema wasimchague Ngereja na Muleba wasimchague Tibaijuka na mwisho akatae kufanyiwa kampeni na mkapa,jk,Makamba,kinana na mafisadi wengine ndani ya sisiem
 
Aaanze kwanza kuwafumua wale mafisadi walioteuliwa kugombea ubunge tena. Pia awakatae kuambatana nao kwenye kampeni hapo tutaamini. Ila hata akifanya hvyo hatumpi kura kwa sababu ya dUdU cCm.
PEEEEOPLES
 
hana huo ubavu na kwanza hawezi kusema hayo kipindi hiki ,angalikua na ubavu angeangalia viti maalum mabinti wa makada tupu-hovyoo
 
haki ya nani!, hakuna luwasa wala ukiwa, wananchi tunamtaka huyu mtu. magufuli utanguliwe na mungu kwa maono yanayopendeza wengi.
 
Kwanini twende CCM B wakati CCM A ina sera nzuri.
Queen Esther

unamdanganya nani wewe gamba. hapa mabadiliko tu. hata siku moja mtu aliyekubeba mpaka ulipo leo eti kwenye mfumo uleule useme eti nitafumua labda angekuwa chama kingine siyo ccm. LOWASSA MABADILIKO MABADILIKO LOWASSA.PEOPLESSSSSSSS.LOWASA JIBU LA WATANZANIA
 
Tatizo ni kwamba wanaosema hawezi, ndo watakaokuwa wa kwanza kuondoka nchi hii,tunakupongeza sana kiongozi wetu.
 
Back
Top Bottom