GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 274
Wazinza na wasukuma unawajua wewe?
HUYU NDIYE RAIS NIMTAKAYE MIMI
~Asema atafumu mfumo wa utendaji ndani ya Chama
~Akerwa na vigogo kiwabeba watoto wao katika nafasi za uongozi
Zikiwa ni takribani siku 20 zimepita toka pazia la kampeni za uchaguzi mkuu zianze mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli akutana na katibu mkuu wa chama hicho ambaye pia ndiye mwenyekiti wa kampeni za chama hicho na kumpa mambo anayotaraji kufanyika.
~Dkt. Magufuli ni mmoja ya mawaziri wachapakazi na wanaoogopwa sana kwa misimamo hata na Rais mwenyewe kwa jambo analoliamini analifanya kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu. Amemuekeza Kanali Kinana kuwa moja hatapenda kuiona familia yake ikishiriki katika kampeni za urais kwani hataki familia yake kujihusisha au kujinasibisha na urais wa nchi. "Nataka nikapambane kufuta hili lililojengeka kwa watoto wa vigogo kubebwa kwenye nafasi za uongozi hata ajira na kuwaacha watoto wa watanzania maskini wakiwa mitaani eti kwa sababu hawana wa kuwashika mikono haki ya Mungu hili nitapambana nalo ili chama hiki kiwe cha wote na nchi hii iwe ya wote" Alisema kwa sauti ya ukali MAGUFULI
~Hivyo mke wangu naomba aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao na hata ndugu zangu. Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno.
~Asema kabla hajaapishwa anataka Chama chake kiandae utaratibu wa kuwabana wabunge wake hususani kupata ripoti za kila mwezi za kila mbunge juu ya utendaji wake kwa wananchi na mchango wake anapokuwa bungeni. Hii itasaidia kuwa na wabunge wanaochapakazi na kuwatumikia wananchi kuliki ilivyo sasa.
~Amesema akiingia Oktoba utaratibu wa kuwapa misamaha ya kodi wabunge imewafanya wasahau majukumu yao na kujiingiza kwenye biashara wakati wanalipwa vizuri na wanapata posho kubwa sasa amesema atafuta misamaha hiyo ili wajikite kuwatumikia wananchi.
~Asema atafumua utendaji wa chama kwa kukijengea chama uwezo zaidi kiuchumi ili watendaji wake na jumuiya zake walipwe vizuri na kuondoa michango ya gharama za kura za maoni na hata kuchangia gharama za uchaguzi kwenye majimbo ili kutoa fursa kwa vijana wanaotoka familia maskini kushiriki nafasi ya kuitumikia nchi yao kuanzia nafasi za mtaa, udiwani na ubunge hata urais. Pamoja na kufuta utendaji kazi wa mazoea.
~Asema siku 100 za mwanzo zitakuwa za kufanya mageuzi makubwa ndani ya serikali yake na Chama. Asema kama kuna kiongozi aliyeshiriki ufisadi wowote ajiandae maana atakula nao sahani moja ili sheria ichukue mkondo wake.
Chanzo chetu cha habari kinasema hata hivyo Kanali Kinana na Philip Mangula wamemuleza kumuunga mkono kwani ni mtazamo mzuri na watampa ushirikiano japo hautawapendeza wengi.
HUYU NDIYE RAIS WANGU
mfumo upi ataofumua ikiwa huo mfumo ndo uliomuweka?
wanaosema hawezi wakapimwe akili Magufuli amesema ataweza wewe unasema hataweza shame of you

Anatafuta kura ulitaka aseme hataweza kuufumua.Wajinga ndo waliwao
Wananchi muda huu, huwa tunakuwa kama ndumi la kuwili, hatueleweki wakati yupo waziri tulikuwa tunamuona jembe leo eti tunasema ni maneno tu ya kisiasaHayo maneno tu blaza hakunana mwanasiasa asie na maneno matam
Anatafuta kura ulitaka aseme hataweza kuufumua.Wajinga ndo waliwao
hawezi huyo ataendeshwa kwa Remote control