Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Ukiendelea kidogo na hiyo Elimu utakuwa kama Mulugo anayesema ana Med. Lakini anasema Pemba iliungana na Zimbabwe alafu huyu ndiye Waziri wa Elimu hii ni hatari sana kwa taifa kiongozi kilaza namna hii.
Huyu mwingine anasema Saddam Hussein alikuwa rais wa Libya

Bora
kuliko kujinyea geita
 
Lowassa, kujinyea jukwaani ni busara? IQ vipi? ipo

Haya maneno hayawafikishi kokote nyinyi nyea nyea hii ndiyo kampeni yenu?
Kama hujui Wananchi wanawachukia sana kutokana na matusi yenu.
Msipoangalia itawagharimu.
 
Nilimwona mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema. Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 mh. Mrema asingeshinda pale vunjo.
 
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.

Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.

Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.
 
Mkuu mafisiem yameshikwa pabaya sasa wamebakia na personal attacks maana hawana hoja,hawana jipya la kuwaambia watanganyika.
 
Ona usivyokuwa na akili

LOWASSA amesema haya Bungeni, VIDEO nitaileta baadaye!


"Akija mtu Jeuri na fedhuli akakuuliza, tanzania mna nini, mjibu kwa uungwana, TUNA AMANI." - Mwl. J. K. Nyerere.

Tanzania ina amani, watanzania wanajua na dunia inajua


* Katika KUIKOMBOA Tanzania tumeshiriki kuikomboa AFRIKA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Kwa amani hii tumejenga reli ya TAZARA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga shule, asilimia 95 wanaenda shule, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumjenga shule kwa kila kata, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumevuta maji kutoka Lake Victoria mpaka Shinyanga, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga LAMI sehemu kubwa ya taifa letu, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga chuo kikubwa sub-saharan africa, UDOM, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tuna uchumi unaokuwa kwa asilimia 7% KUliko nchi nyingi Duniani, watanzania wanajua na dunia inajua

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI!

KINARA NA WAHASISI WA MAENDELEO HAYO NI CHAMA CHA MAPINDUZI

UNAWEZAJE KUDHOOFISHA LEO HISTORIA HII 

UNAWEZAJE KUONDOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwenye historia kubwa namna hii?

Tusiogope ni Historia Nzuri SANA.

Kama viongozi wetu waliopita walivyothubutu na SISI TUTHUBUTU ndio heshima ya CCM.

Your knowledge attitude is questionable.
Amani imeletwa na CCM? Kama ndiyo, kwani wasiende kufungua matawi ya ccm Sudan kusini na Somalia ili amani ipatikane?
Hii ndiyo maana nasema uelewa wako ni mdogo kuliko wa panzi.
Amani tumeileta wenyewe kwa kukubali kudhurumiwa na kukaa kimya.
Pili umesema Rell ya TAZARA huu ni msaada wa China.
Kujenga shule wanafunzi wanakaa chini huu si mpango mzuri. Na kwa kuweka kumbukumbu sahihi aliye himiza Shule ni Lowasa tu.
Kusaidia Ukombozi Africa. Tunanufaika nini na hilo?
Chuo sawa hilo ni muhimu pia ni kazi iliyoasisiwa na Lowasa.
Maji yanapatikana kwa watanzania 8%. Wengine 92% hawapati hii akili kweli? kuweka kumbukumbu Sahihi na mradi huu ni wa Lowasa.

Uchumi unakuwa uku watanzania 87% wanaishi kwenye Dimbwi la Umasikini hii haina maana.

Kenya Miaka kumi baada ya kuiondoa KANU imengia kwenye Nchi za Dunia ya pili, wakati sisi ambao uchumi unakuwa bado tuko kwenye kundi la Nchi masikini Zaidi duniani.

Watu tunataka Maisha Bora na si Bora Maisha.
Tunahitaji Mabadiliko
 
Inawezekana wamechanganyikiwa hata wakasahau sifa za kuwa kiongozi.
 
Nilimwona mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema. Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata mh. Aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa. Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.

Mtu mzima ovyo kabisa, kafanye kazi upate maendeleo,endelea kupoteza muda na ushabiki wako
 
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.

Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.

Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hivi Magufuli angekuwa na hali ya afya aliyonayo Lowassa, na pia anakwepa Mdahalo mngesemaje?
 
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.

Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.

Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.


Kwakuwa mgombea wao makufuli,kila akitupuwa hoja inayohusu afya ya mwili wake anaprove kwa vitendo mfano kukimbia ama kupga push up,hebu tuseme mgombea wao hajafanyiwa tohara ama anajinsia 2 ili tuone kama atakurupuka kutuonesha kuthibitisha hana anachotuhumiwa nacho
 
Nilimwona Mh. Magufuli akipiga push up kwenye kampeni zake na wakati mwingine akikimbia kuonesha yuko vizuri kifya, hilo ni jambo jema.

Lakini watanzania hatupimi wagombea kwa kuwa na afya njema ila maono yao, vinginevyo mwaka 2010 Mh. Mrema asingeshinda pale vunjo lakini pia hata Mh aliwahi kuanguka jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni mwaka 2010 lakini bado alichaguliwa.

Hivyo kuwa na afya njema siyo haiwezi kuwa sababu tosha uchaguliwe.


Ila anapimwa kwa uwezo wa kujinyea mara kwa mara?

​
 
Rais anatakiwa awe fit kwani ni Amiri jeshi mkuu. Yeye anatakiwa kukagua magwaride.Sasa kama afya ni mgogoro ataweza kukagua magwaride akialikwa huko ughaibuni!
 
Mkuu IQ haiendani na push ups, mbona Kasparov pamoja na kuwa among 10 best duniani kwa IQ but anacheza chess?
Hata Obama mtindo wake wa ku-trot akipanda na kushuka ngazi ni kuonesha ukakamavu na ushupavu, Mwinyi na sharp steps ni hivyo hivyo, kipi kigeni kupiga pushes? Labda Lowasa alitakiwa naye ajaribu
 
Rais anatakiwa awe fit kwani ni Amiri jeshi mkuu. Yeye anatakiwa kukagua magwaride.Sasa kama afya ni mgogoro ataweza kukagua magwaride akialikwa huko ughaibuni!

Refer to President Rousevelt aliingia madarakani akiwa kwenye wheel chair na anakumbukwa kwa kuleta maendeleo kwa kiwango cha juu.
 
Ndio keshapimwa sasa, tulieni dawa iwaingie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom