Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Opinion polling for Tanzania General
Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe
Magufuli (CCM)
17.3% 2363
Mh. Edward Lowassa
(CHADEMA)
81.2% 11075
Other 1.4% 193
Total Vote 13631
 
Na akiupata urais mawaziri watapigishwa push-up.. huyu jamaa hatufai hata kidogo.
Badala akomae na sera yeye anakomaa na ufiti.
Ufiti wa nini wakati huelewi kesho?

"Being Tanzanian is not a problem, problem is being under CCM"

aliye fiti si akapigane na MAYWEATHER las vegas???????????????
 
Halafu Leo eti anaamlisha wananchi wawazomee mafisadi bila kujua kuwa 80% ya mafisadi yapo CCM kwa hiyo wananchi wakawa wanajizomea wenyewe na CCM yao.
 
Magufuli katika ubora wake
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mnadani, mkoani Geita.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwapungia mkono maelfu ya wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda, pia katika serikali yake itaongeza maeneo ya wachimbaji wadogo na kuwawezesha ili waweze kuchimba vizuri.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Ndugu Joseph Msukuma akihutubia wakazi wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea wa Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Katoro ukifuatilia mkutano wa Dk. John Pombe Magufuli.

Magufuli ni mpango wa mungu
Hakwepeki
 
unajua wakiwa ni wapumbavu saana, yani mkapa hakukosea kuwaita ivyo! hivi mnawezaje mfananisha magufuli, na huyo mamvi, hivi wakati anazunguka tandale alifanya sawa?? au mmeona hili tu la kupiga push up???
 
Mkuu ukijiunga ukawa unamkabidhi mbowe akili yako
Ole wako uulize kitu chochote
Utaitwa msaliti
 
Ni wazi kuwa hawa watu wameshaona hata wakinadi sera na ilani yao bado watu hawawaelewi. Kwa hiyo kilichobaki ni kufanya ukatuni na comedy mpaka uchaguzi fike, waibe kura, wakishindwa wasababishe fujo ili nchi itawaliwe kijeshi.

Vinginevyo nadhani ingekuwa poa sana kama hawa wangepiga na push ups za kichwani. Sidhani kama tunahitaji mabouncers ikulu, but it's obvious tunahitaji critical thinkers! Sasa what does it help kwa nchi, wanachama wanaomsindikiza na wengine wanaolinda shibe zao, kwa mgombea kupiga push up tatu kuthibitisha ufit wakati kichwani vijana wa Libya walimuua Saddam-Rais wa Kuwait? Nadhani katika kichwa hicho hicho raia wa Kuwait ni wavumilivu sana. Vinginevyo haiwezekani kabisa vijana wa Libya washawishiwe, mpaka wamwue Rais Saddam wa Kuwait halafu raia wa Kuwait wako kimya tu! (sijasikia vita ya Kuwait na Libya bado). Halafu wewe unapiga push up?

hivi wakati mamvi anaenda tandale alikua anafanya nini?? kama sio maigizo??
 
Mazoezi ni sehemu ya kujenga afya!!! Ukiona huwezi kushindana na mpinzani wako ni lazima ulalamike!!! Jea alipoonesha kukimbilia usafiri wa kampeni je alitaka kuwaambia nini wananchi?? Kila mmoja huonesha kuwa yuko fiti kwa namna anavyoona haitaleta madhara kwake kwa kutegemea washauri wake!!!
 
mzee wa kupiga ngoma
unnamed%2B(4).jpg

maxresdefault.jpg

_MG_2523.jpg
 
Jengo la Tanesco ubungo limejengwa kimakosa ndani ya hifadhi ya barabara. Kijana sheria ya Road reserve huijui? Tunahitaji Rais atakaye simamia SHERIA. Kumbuka SHERIA ni MSUMENO.
Halafu AWAMU ya Magufuli itajajenga kitu kinaitwa interchange pale ubungo.awamu hiyo imeshatuambia barabara hadi chalinze inapanuliwa hadi njia sita
 
Hofu yangu kubwa ni utaratibu tu uliotumika. Alipiga pushup akiwa ameshikilia kinasa sauti. Kingeweza kikamfanya akateleza kwa bahati mbaya. Kuteleza wakati anakimbia kwa kupanda ngazi sio habari lakini angeteleza wakati wa pushup ingekuwa habari kubwa.
 
Ongeza na hii
 

Attachments

  • 1443065623279.jpg
    1443065623279.jpg
    31.1 KB · Views: 183
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom