Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kabisa Ubunifu wa UKAWA ni zero maana tumeona wakicopy na kupaste nembo, icon na hata misemo toka chama tawala mfono mdogo ni ule wa Magufuli 4 Changes!!!!:A S-confused1::A S-confused1:
 
Mungu anapaswa sasa kuingilia klati.

Kuhusu ufunguzi wa account zote NBC nafikiri ni kutokana na jinsi benk husika ilivyobinafsishwa na pia benki nyingine ni ya huko afrikia ya kusini hivyo kuwa rahisi kufanya transactions zao.

Kuna haja ya kufuatilia kwa kina juu ya hii benki ya NEDBANK kwani huenda inafanya biashara chafu sana hapa afrika .

View attachment 290441View attachment 290450 endeeeni kupiga push-ups
 
UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!

Mimi naona kuna shida hapa tena kubwa, tangu lini uwezo wa kupiga push up jukwaani ukawa kipimo cha uwezo wa mtu kuongoza nchi? Na mleta maada bila aibu anauita ubunifu!!!! SHAME.

Wananchi wanataka waambiwe ni kwa jinsi gani mgombea uraisi amejipanga kushughulikia ukosefu wa madawa hospitali, vifo vya kina mama wajawazito, umeme, maji, na vingi vya namna hiyo na siyo kupiga push up jukwaani. Kazi hii ingehitaji wapiga push up ilitosha kuwachukua walinzi wa kwenye kumbi za starehe maarufu "MABAUNSA".
 
Mleta uzi huu syo kisa lako ila ni kwa sababu wakati una post umetumia..
Bangi+voroba= pole sana
 
Magufuli katika ubora wake
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mnadani, mkoani Geita.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwapungia mkono maelfu ya wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda, pia katika serikali yake itaongeza maeneo ya wachimbaji wadogo na kuwawezesha ili waweze kuchimba vizuri.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Ndugu Joseph Msukuma akihutubia wakazi wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea wa Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Katoro ukifuatilia mkutano wa Dk. John Pombe Magufuli.


Sasa akimaliza mkutano wasisahau kuwa rudisha watu kule walipo watoa na malori kama walivyo wasahau tabora n.k
ccm muwe na utu.
 
UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!


Push up zinaonesha utimamu wa mwili

Sasa kama imewauma ukawa
Wamwambie mgombea wao apige hata mbili tu
 
Ni wakati wa kuhoji maneno na vitendo vya wagombea kwa kina. Vinginevyo hawa watatuona mazuzu, wapumbavu na malofu. Mgombea anapiga puch up kuonyesha watu kuwa ana afya njema, lini puch up imegeuka kuwa kipimo cha maabara. Kama wagombea wanajinasibu kwa afya zao si wakapime damu full blood picture inaoyoonyesha kila kitu. Halafu atuonyesha hadharani vipimo hivyo. Tena matokeo na upimaji ufanywe na independent people- yaani wasiofungamana na upande wowote na mhusika aridhie matokeo ya vipimo vya damu yaonyeshwe kwa wananchi. Bila kipimo cha damu hawa wanasiasa waache kutudanganyadanganya.
 
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg

LOWASSA HANA UWEZO WA KUPIGA PUSH UPS KAMA HAWA WAZEE WA KAZI
NYIE BEBENI MZIGO WENU KWA HELICOPTER MPAKA KIYAMA YENU OCTOBER 25

Lowasa akifanya hivo,ya geita yatakuwa ni mara mbili yake
 
Kweli mwaka huu watanzania wanataka mabadiliko...

mgombea magu anashindwa kutambua jukwaa ni kwa ajili ya sera na sio mazoezi. wenzake wanafanya mazoezi mahala muafaka.

kutokuwa makini huku huyu jamaa wachina wanaweza kumuingiza choo cha kike hadi basi.

we need a man of vision na sio visionless candidate kama huyu.
 
Mabadiliko bila kuwa na afya njema ni ndoto

Viva mr president magufuli
tatizo ni mtu nzima anayetarajiwa kuwa rais ambaye sote tuna imani na afya yake kwenda kupiga push up jukwaani. angelikuwa kasemwa mgonjwa ingekuwa nafuu
 
Na akiupata urais mawaziri watapigishwa push-up.. huyu jamaa hatufai hata kidogo.
Badala akomae na sera yeye anakomaa na ufiti.
Ufiti wa nini wakati huelewi kesho?

"Being Tanzanian is not a problem, problem is being under CCM"

Umechukia Magufuli kupiga push ups kwasababu unajua El hawezi, linakukera kwasababu hata mfanyeje El hawezi hata kujaribu,,,
So mnabaki mnapiga jungu tu hapa.
 
Push-ups jumlisha utafiti wa Twaweza ,,

Heheee. Ukiwa wamejaa povu wanatamani wapasuke.
 
Ni lini Magufuli atawaonyesha wananchi majibu ya vipimo kutoka maabara badala ya kuonyesha puch up?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom