Magufuli, Kenyatta 'wakutana' Uganda

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuapishwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda.
 
Mbona kenyata jana alidai anaenda Rwanda na siyo uganda?

Au kuna habari zingine za kizushi?
 
Aliengineer mpango wote wa bomba ni JK kama hamjui na Uhuru was awere of that ila alikuwa anhangaika tu wananchi wasimuone fala
 
Hivi kulikuwa na mgogoro kati ya Magufuli na Kenyatta?
 
Watu wengine bana. Eti busara. Yaani ulitaka kenyata asisalimiane na Magu?
 
Kuna watu wanamapenzi na watu binafsi, mapenzi yasiokuwa na akili kabisa.
Kwani Pombe angeenda Kampala mwenyewe asingekutana na Uhuru? au wasingesalimiana?
By the way, mgogoro wa bomba la mafuta umetoka wapi na umeanza lini? nani kakwambia kuna mgogoro?? au unaota.
 
Hayo si mapenzi ni Mahaba , unajua watu wa baba manvi bado wanhangaika sana wanapolisikia jina Magu
 
Kwanini kuna watu wanapenda kukuza UPUMBAVU?. Lini Mhe JPM alikuwa na ugomvu na Mhe Kenyata mpaka itumike busara kuwakutanisha.MAMBO YA KIMBEAMBEA WAACHIE WANAWAKE.
 
So what's so special?Kwani kuna Diplomatic Row baina ya Kenya na Tanzania hadi ijengwe taswira kwamba wamekutana katika sideline ya Swearing Ceremony ya Museven?

Tutaacha lini insinuation za Diplomatic tension kila saa.

Hivi tuko for real katika EAC intergration?Tuache unafiki huu
 
Ni kweli kabisa, ukawa hili bomba mgeliwaachia kenya walichukue maana ni jambo zuri sana kuishi kwa amani na wengine.
 
stroke,

Kuna uhusiano gani kati ya comment yangu na hicho ulichoandika? Something must be wrong with your compehension skills.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…