technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,699
- 58,747
kuna watu wataondoka kwa aibu madarakani..mgema akisifiwa tembo ulitia maji ndo haya sasa..Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Nauli unayo au ndio unakimbia na miguu yako?Natamani kukimbia nchi..
Nikimbilie huko mbalii kabisa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole Mamndenyi kumbe ni mjane🤔
Ndio maana sasa hivi ni mwendo wa matajiri kufuatwa na kulazimishwa kuchangia serikali, lazma mlimie meno , sisi huku mahakamani mshahara unatoka konsolidated fund,Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Hizi figure za sasa ndio realisticMagufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Chadema kwa kupika taarfa hawajambo[emoji3]
Aliyezoea vya ku yonga..... huku lindi bei sukari haijashuka badoHuku mtaani hali ni mbaya kuliko.. yaani na hii Corona ndo imekuja kuwa Catalyst. Mwaka huu Magufuli anaumbuka pakubwa sana