Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Tulishindwa kutoka nje wakati uchaguzi wote unaporwa Nov 2020 unadhani watu watakuwa na morale ya kutoka sasa hivi kwenda kudemand hii kitu?Here is the problem again...
Kwanini CHADEMA ndiyo waende? Kwanini tusiwe sisi wananchi? Kwanini usiwe wewe?Hivi Katiba ya JMT ni ya CHADEMA au ni wananchi wote?
Sijui hata ile movement ya BAWACHA kwenda Bungeni kumchomoa Halima iliishia wapi?