Magufuli hajaleta nidhamu makazini, bali ameleta woga kwa watumishi.

Naweka BIG NO kwenye hili suala wanalosema watu kuwa Magufuli ameleta nidhamu makazini.
Watumishi wa umma(baadhi) wamekuwa na woga kuhofia kuwajibishwa, hasa kwenye Halmashauri maana huko kila mtu hujigeuza Mungu mtu. Sheria wakati mwingine hazifuatwi bali harsh tu.
Hakuna nidhamu kwa mtu asiyepandishwa daraja, asiyeongezwa mshahara, asiyebadilishiwa cheo au kitengo baada ya kujisomesha kwa gharama zake n.k . Kinachofanyika ni kuigiza tu kuwa yu mwema na mchapakazi kwa kitambo kidogo.
Mwenye ushahidi kuwa sasa amekuwa na nidhamu zaidi katika kipindi hiki cha Magufuli zaidi ya kipindi cha Kikwete aje atueleze.
Uko sahihi sana ndugu. Lakini pia si hivyo tu, ktk kipindi hiki cha utawala wa Magu ndio wizi wa fedha za uma umeshika kasi kuliko wakati mwingine wowote wa tawala zilizopita. Tshs 1.5 trillions zilipotea, kwa mujibu wa CAG, hadi leo serikali haijatoa jibu pesa hizo ziko wapi! Zimepigwa.
 
Anayejifanya anaupinga ufisadi ndiye aliyedokoa hizo 1.5 Trillions.
Uko sahihi sana ndugu. Lakini pia si hivyo tu, ktk kipindi hiki cha utawala wa Magu ndio wizi wa fedha za uma umeshika kasi kuliko wakati mwingine wowote wa tawala zilizopita. Tshs 1.5 trillions zilipotea, kwa mujibu wa CAG, hadi leo serikali haijatoa jibu pesa hizo ziko wapi! Zimepigwa.
 
Hata Mimi nawashangaaa magu bana kiboko Alisema atanunua korosho zote ameshanunua wanajeshi wanasomba halafu wanaenda bangua kwa mdomo uzuri wa kiongozi ni mfano kama alivoonesha halafu hata zikikaaa miaka 5 tutauza tuuu na zikikaaaa sana huwa zinakuwa dhahabu kama si makinikia .cccm oyeeeeeeeeee
Asilimia kubwa wanaompinga Magu ni hao waliokua wakichezea mali za umma na wakwepa kodi, na wale waliokua wakichezea kazi za umma na ndio hao wenye woga na chuki kama mleta mada hapa.

Suala la korosho amelishughulikia vizuri sana. Hawa walanguzi au middlemen ni watu wa hatari, wamewalalila sana wakulima. Ebufikiria hadi wazungu wameamua kuonyesha TV program ya wakulima wa Sao på cacao huko West Afrika. Wamefuatilia kuanzia yule mkulima huko mashambani na bei zao hadi kwa hao walanguzi hadi inapofika huku ulaya.
Leo mtanzania anauza korosho kwa 3000 wapate hapa ulaya tunanunua kwa 30 000 kwa kilo. Imaginär ni nani hapo anaepata hiyo faida kubwa.
 
Eeeeehhhh ndugu kumbe upo Ulaya ila unajifanya unaijua Bongo na mateso ya wananchi.

Hata kama sipo bango lakini ninaelewa vizuri shida za huko TZ. Na ninafuatilia vizuri masuala ya TZ na Afrika kiujumla. Magu amejitahidi sana kuweka au kunyoosha mamabo mengi tu ambayo yanafaida kwa wananchi kasoro hao waliozoea kujichotea. Magu leo hii angepandisha kima cha chini cha mshahara then maisha ya waTZ yangebadilika såna. Asilimia kubwa ya waTZ ni wa kipato kidogo, na shangaa sana hua sioni hata wa TZ wakiongelea hilo suala.
 
whatever the hell
kama Magufuli hajaleta nidhamu basi wewe ilete tuione, sio unakaa unachongachonga kama wamama wa kizaramo.
Kuna watu wanachuki hadi wanashindwa kujizuia.
Roho mbaya itawafanya mfe kabla ya muda wenu wanafiki nyie.
Unakuja na ID fake unaandika shudu halafu unadai wewe ni jasiri serious kabisa!
Am in rough road mood.
 
Asilimia kubwa wanaompinga Magu ni hao waliokua wakichezea mali za umma na wakwepa kodi, na wale waliokua wakichezea kazi za umma na ndio hao wenye woga na chuki kama mleta mada hapa.

Suala la korosho amelishughulikia vizuri sana. Hawa walanguzi au middlemen ni watu wa hatari, wamewalalila sana wakulima. Ebufikiria hadi wazungu wameamua kuonyesha TV program ya wakulima wa Sao på cacao huko West Afrika. Wamefuatilia kuanzia yule mkulima huko mashambani na bei zao hadi kwa hao walanguzi hadi inapofika huku ulaya.
Leo mtanzania anauza korosho kwa 3000 wapate hapa ulaya tunanunua kwa 30 000 kwa kilo. Imaginär ni nani hapo anaepata hiyo faida kubwa.
Ahsante bro ingawa hawa jamaa na chuki zao hawawezi kukuelewa.
 
I'd fake huku nimeitumia kwa miaka kama 2 sasa.
Halafu jina nililotumia humu ndilo ninalotumia fb, kwenye vyeti na kazini pia.
whatever the hell
kama Magufuli hajaleta nidhamu basi wewe ilete tuione, sio unakaa unachongachonga kama wamama wa kizaramo.
Kuna watu wanachuki hadi wanashindwa kujizuia.
Roho mbaya itawafanya mfe kabla ya muda wenu wanafiki nyie.
Unakuja na ID fake unaandika shudu halafu unadai wewe ni jasiri serious kabisa!
Am in rough road mood.
 
I'd fake huku nimeitumia kwa miaka kama 2 sasa.
Halafu jina nililotumia humu ndilo ninalotumia fb, kwenye vyeti na kazini pia.
wapo wakina Mpelengana wangapi dunia hii?
Kama wewe ni jasiri ongeza jina lako la pili halafu verify account yako,vinginevyo inabaki kuwa id fake Bro
 
Back
Top Bottom