Magufuli & CCM angalieni hapa, kisha mjilinganishe!

hilo sio jukumu la magufuli na ccm pekee ni jukumu la wote.... tunatumia mda mwingi kwenye majungu na kujaji watu huku hatufanyi kazi
 
hilo sio jukumu la magufuli na ccm pekee ni jukumu la wote.... tunatumia mda mwingi kwenye majungu na kujaji watu huku hatufanyi kazi
Kufanya kazi bila mipangilia inakuwa bure, tunawauliza akina Magufuli kwakuwa ndio tuliowapa dhamana ya kupanga, kutekeleza na kusimamia.
 
hilo sio jukumu la magufuli na ccm pekee ni jukumu la wote.... tunatumia mda mwingi kwenye majungu na kujaji watu huku hatufanyi kazi
Kazi tunafanya mzee, ila tu hatujashika rungu, amini usiamini hawa jamaa hata kama tutafanya kazi namna gani kama hatuwashitui na kuwakumbusha wajifunze kwa wenzao waliopewa dhamana ya kuongoza, kushika mipesa yetu etc.

Watalala na watatafuna nchi wapendavyo...amini usiamini, mafanikio haya machache tuliyofikia ambayo magamba wanajisifia yasingekuwepo kama upinzani hasa chadema wasingekuwa wanawaanika....EPA isingeshughulikiwa kama ilivyoshughulikiwa, mawaziri wasingepelekwa court, wizi ungezidi hapa tulipo sasa, mambo yote yangekuwa shamba la bibi kuliko hivi tulivyo...kwa kifupi hali ya nchi yetu ingekuwa mbaya kuliko ilivyo sasa, sasa utapata jibu ubaya huo ungekuwaje...kama unazidi umasikini na wizi uliopo sasa hivi huuu...
 
Wafa MAJI nyie, tulitegemea mtasema hivyo!
Msirudie kumshika BABA YENU sharubu
Nyambaf uuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Sishangai jibu hili kuletwa na wewe kwa kuwa ni mnufaika mkubwa na ufisadi uliotamalaki nchini. Si ajabu ni mmoja ya waliokwenda China kununua sare za ATCL fisadi mkubwa.
 
Mkuu wangu naona unacompare machungwa na maapple.

Nafikili si sahihi kufananisha nchi masikini na tajiri.

jiulize hizo ahadi za viwanda vitano vya sukari walizotoa leo tuna ziunganisha na ahadi za mwaka 2010? Au zina anza kutekelezwa za pale chadema square?
 
Mkuu unachukua reference za Skyscrapercity? Hizo ni architectural design lakini miradi yenyewe bado.

Mie naishi Addis, kuna flyover kibao na mji una 'RING ROAD' highway inayouuzunguka mji mzima, lakini sio picha hizo ulizotuwekea.

Sidhani kama Ethiopia ni ya kutolea mfano; labda ungetueleza sababu ya raia wake wengi kuishi ukimbizini?
 
Kwenye masuala kama haya ndio utasikia hoja za kipuuzi kuwa oohh nchi yetu changa
 
umeshasema kuna fly over kibao...zionyeshe basi, kule skyscrapercity wameonyesha kuwa wameshaanza kujenga, vipi kuhusu iyo ya google earth inayojenga inaonekana, wewe uliyeko adis ababa hujaiona hata hiyo tu....hapa bongo lala yako kama iyo tu inayojengwa iko wapi? tandale uzuri? mbagala? au wapi?.....magamba utayaona tu yanavyojitetea.....mwaka 2015 lazime muondoka, na mtahama nchi kukimbia manake tutakamata mmoja baada ya mwingine na kumsweka lupango.
 
Mugufuli hatakiwi kujisifia kwenye barabara kabisa..wala hatuendi mbali aende pale Nairobi aone fly overs zinazojengwa siyo yeye anaongelea mipango isiyotekelezeka. Tufikie wakati tuache siasa serious issues ..
 
KWA AKILI YA HUYU GAMBA, anayesema yeye yupo addis abbaba, bado iko kwenye makaratasi, ni structral design tu....unajua mtu mwignine anaweza kuwa yuko addis abbaba lakini anakaa ndani tuuu anapigwa madole humo ndani, hatoki nje, akitoka nje anawaambia wahabesh nchi yangu tz ni bora kuliko yenu, inView attachment 55945View attachment 55946View attachment 55947View attachment 55948View attachment 55949View attachment 55950View attachment 55951a miundo mbinu bora kuliko yenu....hoplessssssssssss
View attachment 55944
 
Kakalende,
Mkuu unachukua reference za Skyscrapercity? Hizo ni architectural design lakini miradi yenyewe bado. Mie naishi Addis, kuna flyover kibao na mji una 'RING ROAD' highway inayouuzunguka mji mzima, lakini sio picha hizo ulizotuwekea.


  • Hayo maneno yako siyo kweli. mie nilikuwa Addis Ababa majuzi tu. mchoro wa pili kutoka chini ni kweli kabisa. barabara hiyo ipo na imejengwa na wachina. uwelekeo wa kusini barabara inakwenda hadi mpakani na kenya wakati uwelekeo wa kushoto itakupeleka hadi makao makuu ya umoja wa afrika. uwelekeo wa kulia itakuunganisha na barabara kuu inayotokea katikati ya jiji la Addis Ababa kwenda uwanja wa ndege wa bole. masilos unayoona upande wa kushoto yalijengwa zamani sana wakati wa utawala wa mfalme haile selasie. wakati wa kujenga barabara hiyo mpya hawakuyavunja. kwa kifupi, Hute ni mkweli, ehtiopia wanafanya kweli, hakuna longolongo

a
l
Kakalendeende
 
magufuli alitaka kuvunja tanseco ubungo ili ajenge flyover kama hizo mkakataa!! sasa afanyeje?
 
March. 30 2011
chaneasefastrain.jpg

India and China will help build a railway network across Ethiopia that would significantly improve the east African nation's transport system.
India has pledged $300 million for the national rail network construction while China's Export and Import ( EXIM )) Bank has inked a deal to finance 85 percent of the cost of a light rail network in the capital city of Addis Ababa at $490 million.
The cost of the rail network across the country has been estimated at $6 billion, according to an initial estimation.
"India has pledged to provide us with $300 million for the project as part of its assistance to the infrastructure development of African countries," Ethiopian Transport Minister Diriba **** told the Capital newspaper.
"We have asked India for another $300 million for the project," he said.
The rail network is part of the country's Growth and Transformation Plan that sets a target of construction of a 2,395-km national rail track.
The Addis Ababa track would be 36.5 km long.
Diriba told parliament every kilometre of the national track would cost $2-3 million. Based on this calculation, the average cost for a prioritised 1,808-km network would amount to around $4.5 billion.
The Addis Ababa rail network, supplemented by buses and taxis, would help in solving the ever-increasing transportation problems the city was facing, officials said.
China has also given four buses, whose manufacturing would be emulated locally as part of the government's plan to deploy 500 new buses in the capital.
 
ddis Ababa, April 26, 2012 (Addis Ababa) - Construction of the 80-km Addis Ababa-Adama Expressway, the first expressway in the country, launched with over eight billion Birr is well in progress, the Ethiopian Roads Authority (ERA) said.

Communication Director with ERA, Samson Wondimu told ENA on Thursday that over 33.6 per cent of the construction of the Expressway has so far been completed.

The expressway is being constructed by a Chinese Communications Construction Corporation (CCCC).

In addition to its socio–economic benefits, the road will have a significant contribution in alleviating traffic jam and road accidents.

1335453893_addis-ababa-adama-expressway.jpg
The expressway will have exits at every town along the route and also interchange roads.

The expressway, which is part of the five-year Growth and Transformation Plan, will significantly contribute to growth of the export sector through connecting Addis Ababa with Djibouti Port, he said.

Construction of the expressway launched in April, 2010 is expected to be finalized in two years.

The construction cost of the expressway is covered by the Ethiopian government and loan obtained from Exim Bank of China.

There is a plan to construct similar expressway from Adama to Awash in the future.

Adama is located southeast of Addis Ababa.
 
Magufuli maneno 2 hana lolote aone Ethiopia, Dunia sasa ni kijiji watu wanaona watu wengine wanafanya nini waache kudanganya watu ccm, siasa za kuagua hakuna sasa
 
Back
Top Bottom