- Thread starter
- #81
ITATEGEMEA na majukumu. Anaweza KWENDA ama KUWAKILISHWA bado yote ni sawa tu ili mradi nchi IMEWAKILISHWA.Watakaa jukwaa moja wakati Kenyatta akiapishwa?
au mmoja wao ataingia mitini na kumtuma makamu wake?
TUSUBIRI tuone.
ITATEGEMEA na majukumu. Anaweza KWENDA ama KUWAKILISHWA bado yote ni sawa tu ili mradi nchi IMEWAKILISHWA.Watakaa jukwaa moja wakati Kenyatta akiapishwa?
au mmoja wao ataingia mitini na kumtuma makamu wake?
TUSUBIRI tuone.
Nipe ushahidi kuwa nimetumwa.Umetumwa wewe sio bure! Bahati mbaya ni kwamba uhusiano wa Odinga na Magu ni kama pembe la ng’ombe......halifichiki!
Ahaa! Wakati Lowassa akiwa SUSWA huko Kenya alikuwa anafanya nini?Uchochezi Huu
Hii Ramli Chonganishi Itatusaidia Nini?
Sikujua! Ohooo!
Una maana ipi mkuu?Kwani ulikuwa uongo!!!?
MY STUPIDITY helps me to vividly speak what I analyze.You are stupid true!
kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?
Wewe ni mwelevu. Nimejaribu kuutafuta SIUPATI lada nivae miwani.Hahaha, baadhi ya mashabiki wa ccm ni "Wapumbavu" ( nimeparaphrase kauli ya Mwenyekiti jameni)!
URAFIKI na mambo ya KIUTAWALA/SERKALI ni vitu viwili tofauti. Watu ni vizuri wajue kupambanua.Ha! Ha! Ha! Leo mnamruka mkenya pekee aliyefika Chato kumpongeza Magufuli !
Naona wewe unaufahamu mkuu.Rais yeyote anaposhinda uchaguzi hata kama alikuwa anapondwa wakati wa uchaguzi pindi anaposhinda maraisi wengine hawana budi kumpongeza ili kuleta uhusiano mzuri baina yao.
Inapofika kuchagua kati ya Urafiki na MASLAHI ya nchi. MASLAHI ya nchi ni makubwa zaidi ya rafiki.hana namna zaidi ya kumtakia kila lakheri maana ni lazima wakutane kwa namna moja au nyingine
if you cant fight them join them
Baada ya kuchukuwa uongozi. Uhuru sasa ni EXIT Lowassa and ENTER Magufuli.Kosa kubwa Chadema na hasara kubwa kwao ni kwamba wamefanya jambo litakalowakosesha ushirikiano wa vyama vya upinzani vya kenya.
Maana sidhani kama Uhuru atawapa sapoti yoyote ya maana ili kuwawezesha wao kushika serikali.
Ohooo! Sawa mkuu.Kumbe humu kuna watu wenye akili fupi kiasi hiki.Aaisee!! haya ngoja tusubirie mbinu yao nyingine.
mafisadi hayana rangi
Sijakuelewa kuhusu Lowassa. Yaani aliwawakilisha watanzsnia. Nani alimtuma?Pongezi za Magufuli kwa Kenyata ni pongezi za Kenyata pamoja na wote waliochangia ushindi wa Kenyata ikiwa ni pamoja na CHADEMA ambao hawakuishia kumuunga mkono Kenyata peke yake bali walishirika mpaka kwenye kampeni zake kuhakikisha Kenyata anashinda.
Sijui hilo. Unaweza kutembelea huko. Watakujibu ipasavyo.HIVI KUNA MASHINDANO YA KUANZISHA THREAD ZA CHADEMA HUKO LUMUMBA TOKA JANA?
Kwa vipi?
kabisa mkuuInapofika kuchagua kati ya Urafiki na MASLAHI ya nchi. MASLAHI ya nchi ni makubwa zaidi ya rafiki.
He is right on what sense?