Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Nachojua Lowassa hakumuunga mkono Uhuru Kenyatta akiwakilisha Chadema. Ikumbukwe Lowassa ni kiongozi wa mila ya masai wa Tanzania na Kenya. Ukizingatia ukabila unavyotamalaki ktk chaguzi, huu ulikuwa ni mkakati maalumu wa kkuongeza kura za Wakikuyu kwa msaada wa Masai. Ndiyo maana alipandishwa jukwaani na vazi la kimila. Tunachoweza kumlaumu amesaidia kuendelea ukabila Kenya.
Katika hilo la UKABILA sina comments.
 
Ukiongelea haraka una maana gani? Magufuli katoa pongezi baada ya siku moja wakati Kagame, Kaguta na Nkurunzinza walitoa mara moja baada matokeo ya mwisho kutangazwa? Kuna kitu hakipo sawa sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ndani ya muda wa kutoa pongezi/ Within the time frame.
Hakuna lolote liliopungua
 
Mijitu inayojihusisha na ccm ni ya ajabu sana, ndiyo maana eti inatafutackudhibitisha uchochezi kwa kupima mkojo!
Kupimwa MKOJO ni vizuri sana ktk kujua kama unatumia SUBSTANCES/VITU kama vile Madawa ya kulevya nk.
 
Umeshindwa kujitofautisha na unayemtolea povu Chief!
At least hata kama mtu hatukubaliani. Neno umtu analotoa laonyesha ufahamu wake.
Na si kwamba ninachoandika ni LAZIMA mtu akubaliane nami.
 
Hizi thread nyingine zinatufikirisha sana kutaka kujua IQ ya aliyeiandika. Kukiwa na wengi wenye IQ ya kiwango hiki, tusahau kama nchi hii itakuja kupiga hatua ya maana katika maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona IQ yangu ni chini sana 72. to 80 na ikizidi kidogo ni 100 sivyo?
Well, well, kama IQ yangu iko hivyo ama juu zaidi ya 150 ni mwalimu ni mimi mwenyewe ndo ninajua??
Hata hivyo unaweza kuni RATE unavyopenda Uhuru wa MAONI. Ukumbuke sikwaziki.
 
Daah. Lumumba ni ndumila kuwili sana

Yaani angeshinda Odinga, bado mgemlamba viatu mwenyekiti wenu.

Hata hamuwezi kuhoji fundamental mistakes anazofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya n madhara ya kuuza utu wako kwa 7000
Nisahau kukuuliza hizo ndo wanalipwa huko?
Acha niombe kazi huko. kama ni 7000 Daah ni hela nyingi. UMENIAMSHA.
Sikujua kuna AJIRA iko mlangoni Daah!!!!!!!!
 
You are still an amateur in politics. Mbona hata hapa raisi akishinda waupinzani anampongeza. Ulitaka amtukane?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you Mr highly PROFESSIONAL!
I have no more comments to make.
You are entittled to your comments.
A word of wisdom. NEVER underrate others!
You might find that those people are more informed than you think or perceive them to be.
Huo ndo ukweli utakusaida.
 
Umewaona chadema wakishangaa au ukiwa ndotoni?

thA God thA bubbs!!
 
Back
Top Bottom