Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
get well soon lakini usisahau nyumba zetu ulizoiba kwa kushirikiana na limkapa!

ujembe wa magufuli ndipo unapoingia doa. halafu ana bifu na watu wa mizani, kakataa kuwaajiri wao wakajiajiri wao kwa kupokea hela za hongo sasa kapeleka TAKUKURU, watu wanatauftana, hapatoshi. isije kuwa ni zengwe la vibarua wa mizani, ambao miezi sita tu, wanasimamisha mjengo wa maana
 
Interesting. Nakubali. Apelekwe India kwa kuwa nchi hii haina madaktari. Au viongozi wanataka kutuambia nini wanapoenda hata kupima afya zao tu India? Juzi juzi uongozi wote wa NSSF walikuwa India "for medical check up!! Jamani jamani nchi hii!!!!
 
Ni Busara wamwahishe Apolo kabla mamboa hayajawa mabaya zaidi. duh! Jembe letu hilo jamani, sijui wameshali-chifupa?
 
meli ya "gufuli" iliyoanza kuzama hivi majuzi imeamua kuondoka na "gufuli" mwenyewe. Na wale mabaharia wa kichina sijui bado wanasota keko baada ya kutiwa hatiani au pengine walilipa faini na kuachiwa? Anyway, atakumbukwa sana kwa "samaki wa gufuli" aka tuna fish.
we boya nini? Unasema atakumbukwa unataka afe? Acha kuchanganya siasa na ubinadamu mpuuzi we.
 
Kwanza nitoe pole kwa kuugua na kulazwa ICU.
Pia nikupongeze kwa kazi nzuri ambayo umekuwa ukifanya kwa umma.
Lkn nikukumbushe uutumie wkt huu ambapo umelazwa ICU, kwenye hali ya utulivu, utafakari kuhusu nyumba zetu ulizouza, ukiwa na Che Nkapa.
Ni wakati mzuri wa kufanya toba kuhusu hilo, kisha km ukitoka salama hapo hosp, ufanye malipizi km ya Zakayo, yule mtoza ushuru.
Namaanisha urejeshe nyumba zetu zote, na ujenge nyingne mara 4 zaidi ikiwa ni malipizi kwa dhambi ile uliyotutendea wkt ule.
Ni muhimu sana kuzingatia haya ili upate kutakasika.
 
Kwa kiongozi aliye busy kama yeye si rahisi kupata heart attack kwa sababu ya kula vyakula flani, kama kweli kapata tatizo hilo yawezekana ni mshituko unaotokana na kubumburuka kwa jambo flani alilolifanya katika utendaji wake wa kazi, huenda ufisadi hivi, natumaini tutasikia muda si mrefu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom