Kwanza nitoe pole kwa kuugua na kulazwa ICU.
Pia nikupongeze kwa kazi nzuri ambayo umekuwa ukifanya kwa umma.
Lkn nikukumbushe uutumie wkt huu ambapo umelazwa ICU, kwenye hali ya utulivu, utafakari kuhusu nyumba zetu ulizouza, ukiwa na Che Nkapa.
Ni wakati mzuri wa kufanya toba kuhusu hilo, kisha km ukitoka salama hapo hosp, ufanye malipizi km ya Zakayo, yule mtoza ushuru.
Namaanisha urejeshe nyumba zetu zote, na ujenge nyingne mara 4 zaidi ikiwa ni malipizi kwa dhambi ile uliyotutendea wkt ule.
Ni muhimu sana kuzingatia haya ili upate kutakasika.