Magufuli augua ghafla, alazwa

Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Meli ya "Gufuli" iliyoanza kuzama hivi majuzi imeamua kuondoka na "Gufuli" mwenyewe. Na wale Mabaharia wa Kichina sijui bado wanasota Keko baada ya kutiwa hatiani au pengine walilipa faini na kuachiwa? Anyway, atakumbukwa sana kwa "Samaki wa Gufuli" aka tuna fish.
 
Apone haraka
Ili aendelee kuziba viraka
Na kuwajambisha vibaraka
 
get well soon but uache ubabe wa kijinga na kauli za kebehi!!
 
Akichomoka tu mjue tumepoteza jimbo kwa Chadema. Kwa usalama wa jimbo ns CCM jimboni, pona haraka mwanaume.
 
Get well soon Magufull! Nadhani ni presha ya jana bungeni! Wizara yake jana ililipuliwa miradi ya barabara imesimama hawana hela, hela ya budget wamelipa madeni, kuna mradi wanalipa 2bil per month as fidia kwa kusimamisha mradi, now it is 8 month.
 
2.7Bil na hapo mradi umesimama, kudadadadadeki hii ni shamba ya Bibi
 
2.7Bil na hapo mradi umesimama, kudadadadadeki hii ni shamba ya Bibi

Ama kweli Tz ni shamba la Bibi; napata harufu ya malipo marefu namna hiyo kule Arumeru Mashariki kwa yule muwekezaji; ingawa nia yetu ni nzuri lkn ndio athari za mikataba zitakapo tupeleka"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom