Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

I Vote Magufur,stoweza Kumchagua Mtu Kama Lowasa,acha Nionekane Mjinga Kwa Walio Wajinga,ambao Wanadhan Wataletewa Pesa Mlangon Na Lowasa,bt For Sure I Have A Trust In Magufur Nt Ccm,
 
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kupigilia msumali kwa mafisadi wote akisema ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.Hali hiyo imekuja mara baada ya tetesi kuwa fisadi waliokimbia CCM wako mbioni kurudi,hivo Magufuli kasema chama chake hakitakuwa tayari kupokea mafisadi bali kitawashughulikia vikali.

Safi sana, aanze na yule fisadi aliyechelewesha malipo ya makandarasi wa barabara mpaka tukipigwa faini ya zaidi ya tsh 1billion, asimsahau na wale mademu waliopewa nyumba za serikali bure bila malipo. Mwisho na lile fisadi lililonunua meli kukuuu kwa bei ya meli mpya, vichwa vya treni feki, twiga, tembo, nk.
 
Baadhi ya wafanya biashara wameshaanza kufunga biashar na kuwachia watanzania wafanye biashara

home shopping centre na uchumi super market

hii ni baada ya kujiridhisha kuwa magufuri anashinda;

hsc na uchumi wameshasepa .

Na bado hapakazi tu.

Mafisadi yao jela
 
Hata fisadi Lowasa, Rostamu Aziz, Karamagi, Rugemalila & Co. nao watasepa tu kama bado hawajasepa!

Baadhi ya wafanya biashara wameshaanza kufunga biashar na kuwachia watanzania wafanye biashara

home shopping centre na uchumi super market

hii ni baada ya kujiridhisha kuwa magufuri anashinda;

hsc na uchumi wameshasepa .

Na bado hapakazi tu.

Mafisadi yao jela
Huu ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiri, unashangalia Jobs cut wakati miezi ya wazazi kulipa school fees imekaribia, huyo Magufuri wako ana uwezo wa kuwapa hawa ajira? kenge wahed, unashangilia idadi ya majobless kuongezeka?
 
hahahaha ..hsc wanamkimbia lowasa .......hao wote wanosepa ndio wafadhili wa ccm..wanamkimbia lowasa washaambiwa jamaa hazuiliki
 
Kama hao HSC n uchumi ni mafisadi. Swali: je! wametokea ndani ya serikali ya chama gani? Ilikuwa inaongozwa na nani?
Usinipe jibu
 
Baadhi ya wafanya biashara wameshaanza kufunga biashar na kuwachia watanzania wafanye biashara

home shopping centre na uchumi super market

hii ni baada ya kujiridhisha kuwa magufuri anashinda;

hsc na uchumi wameshasepa .

Na bado hapakazi tu.

Mafisadi yao jela

....wewe mbona una kiwango cha juu sana cha ujinga? kwani wakati hao mafisadi wanafanya biashara zao walikua wanalindwa na serikali ya nani?
 
Baadhi ya wafanya biashara wameshaanza kufunga biashar na kuwachia watanzania wafanye biashara

home shopping centre na uchumi super market

hii ni baada ya kujiridhisha kuwa magufuri anashinda;

hsc na uchumi wameshasepa .

Na bado hapakazi tu.

Mafisadi yao jela

Mali zote hizo za Riz1
 
Kwa iyo magufuli anaweza mfunga riz1 ? Lbsa sio tanzania hii ninayoijua
 
Wadau, kwenye mikutano yote ya kampeni, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM amesema kwa sauti kuwa hatakuwa na msamaha na mafisadi. Haya yametuibia na kufilisi nchi yetu. Ameahidi kupambana nayo kwa nguvu zote ambapk ameahidi kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya mafisadi na majizi.

Sasa Magufuli anakaribia kuapishwa kwani kwa jinsi hali ilivyo, ameshashinda uchaguzi. Sasa nawapa salamu kwa niaba yake hao mafisadi kujisalimisha ili washtakiwe na hizi mahakama zetu za kishkaji kwani mahakama ya Magufuli itakuwa ni balaa tupu.

Nasikia kuna mengine yamekimbia nchi. Ila Magufuli atayafuata huko huko yaliko. Kuna mengine yamehama chama kwa kudhani kuwa yakienda CHADEMA yatakuwa salama zaidi. Yanajidanganya
 
Tutakimbiana humu lizaboni na maneno yako hayo lowasa ni rais mpaka sasa kura tu zimebaki kumthibitisha kama huamini wait tarehe 27
 
Lizaboni nakuonea huruma utakavyokimbia jukwaa. Na ukija na id nyingine tutakugundua tu
Nikimbie jukwaa kwa sababu gani? Nilijiamini fisadi Lowasa akiwa CCM. Na sasa sina mashaka akiwa Upinzani. Ameshapigwa mapemaa ndo maana kila kona anahaha kusaka kura
 
Tutakimbiana humu lizaboni na maneno yako hayo lowasa ni rais mpaka sasa kura tu zimebaki kumthibitisha kama huamini wait tarehe 27
Fisadi Lowasa ni miongoni mwa watakaoshtakiwa kwa siku za mwanzo na kufungwa fasta fasta. Taarifa zote za mashtaka zimeandaliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom