Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Kuweza kufanya maamuzi na kuyasimamia kama NYERERE kuna hitaji MORAL AUTHORITY,Kitu ambacho kwa sasa
Watanzania wengi hatuna,hata wenye nacho hawapewi nafasi,wanapigwa ZENGWE,rejea mtu kama Salim A Salim,
wameishia kumpa huyu MUUZA NYUMBA SERIKALI ZA UZUNGUNI KWA WATEULE WACHACHE,ambao mpaka sasa ukienda
kuzikagua walishaziuza kwa mibillion ya hela kwa wafanyabiashara.only in TZ,Tusubili kuuzwa sasa,
 
Najua mafisadi wakiona uzi kama huu mioyo inawapasuka na wanafuta kwenye simu zao haponhapo kabla ya kusoma.Ukweli usio pingingika jitu lenye kusimamia sheria na taratibu za uendeshaji wa serikali halina mchezo. Leo anawachekea ngoja kesho muone atakavyowageuka.

Mnajifanya ooh tatizo ni mfumo mfumo mfumo, ngojeni aingie ikulu ndio mtajua mfumi ni nini. Najua wapinzani tumeendelea kutumia kisingizio vha mfumo mfumo mfumo mfumo tukijifanya lengo kuitoa CCM, lakini ukweli wwnyewe ni kukwepa ajenda ya ufisadi ili tuwakumbatie watuletee mahela mabilioni nasisi tuneeemeke. Tumemfilisi mzee wa watu bure kwa manufaa binafsi.

Tafakari chukua hatua

Muasisi wa uFisadi Tanzania
Ndugu(maana hana PhD kama ya rais magufuli)ngoyai Edward lowasa

Lowasa out!!!!!!!
 
".......mtu akikuambia upige kura na ulinde kura ..mwambie mzee njoo tulinde wote..."
Kanali kinana

Jioni njema kwa hisani ya raisi wa awamu ya tano
Dkt john pombe magufuli.
 
Wananchi itakapofika tarehe 25.10.2015 tujitokeze kwa wingi kwa ajili ya kufanya maamuzi sahihi, maamuzi ambayo yatatufanya kujua kwa undani ufsadi wote uliotokea, Mimi nimekwisha Fanya maauzi ya kupigia mabadiliko.

Wenzangu mnasemaje.

gooooood
 
Kuna kila dalili za wanaohusika na ubadhilifu wa feza za umma baada ya Dr Magufuli kuingia madarakani wanaweza kutimukia Ughaibuni ili kukwepa mkono wa Sheria. Ikumbukwe Rais Magufuli katika kampeni zake ameahidi kuanzisha chombo maalumu kwa ajili ya kushughulika na wabadhilifu hao, Je ni kweli watatimukia Ughaibuni au Laa??
 
Watanzania wa leo Hawawezi Kumchagua Magufuli Kwenye Nafsi ya Urais. Chaguo la Watanzania Ni Lowassa; Magufuli Ni

Chaguo la Viongozi Wachache Wenye Maslahi binafsi Ndani ya CCM.
 
Chombo muhimu cha nini? Anazungumzia kubana matumizi, je kuanzisha na kuunda tume au mabaraza yasiyo na vichwa wala miguu ndio kubana matumizi? Takukuru inafanya nini? Mahakama zinafanya nini? vyombo vya usalama vinafanya nini?

Huku ni kukosa hoja, bora hoja ingekuwa kuipa nguvu takukuru na kuhakikisha mihimili mikuu ya dola inakuwa na uhuru wa kufanya kazi zake bila kuingiliwa na siasa.
 
Wengine watajifanya kwenda Ujerumani kutibiwa halafi ndo hawarudi tena. Magufuli hana mzaha kwenye kazi zake, akiahidi lazima atimize
 
Mmm,hivi Magufuli ni raisi,sio mgombea.Hii mpya.
Kuna kila dalili za wanaohusika na ubadhilifu wa feza za umma baada ya Dr Magufuli kuingia madarakani wanaweza kutimukia Ughaibuni ili kukwepa mkono wa Sheria. Ikumbukwe Rais Magufuli katika kampeni zake ameahidi kuanzisha chombo maalumu kwa ajili ya kushughulika na wabadhilifu hao, Je ni kweli watatimukia Ughaibuni au Laa??
 
Magufuli kweli ndiye rais maana hapendwi na walaji wa Unga

Kwa uelewa wako Mdogo Unadhani Wanaomkataa Magufuli Ni Mbumbu kama wewe. When people are tired of None senses

speak by actions..tuonane 25/10/2015, Utaziona Kura za Magufuli wako; Ni Aibu....
 
SIKU HIZI KAMA WEWE NI REJECT KITAANI NA UNATAKA UFORCE KUKUBALIKA, CHA KUSEMA NI NATAKA MABADILIKO YA LOWASSA, nyumbu wanajaribu kujikubalisha kwa nyumbu wengine ila uzuri nyumbu ni wa msituni, mjini kuna welevu,
Pia nimetambua kuwa wengi ambao hawajioneshi wala kupamba gari zao, bajaji, na boda boda zao na bendera, wengi ni wasiokubaliana na ukosefu wasimamo wa chadema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom