Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
12063576_1646362718974510_604414159773251287_n.jpg
 
Tukutane jangwani leo.ya leo sio mafuriko,sio tsunami ni maporomoko
 
Wapinzani pole...tupo tangu kale, CCM ile ile wapinzani tupa kule....
Maghufuli jembe twende jembe twende
CCM #1 naipenda mwenzio, chama tawala ni balaa kura zote ni zao....

Ni shangwe tupu, hatimae tumefika mwisho naona ushindi ule kwa CCM!!!

Tukutane hapa hapa Jumatatu 26/10/2015 kutakiana heri na kupongezana kwa ushindi wa kishindo!!!!

Nawakilisha

Mimi mtiifu

watu
 
Chagua rais ajaye, chagua Magufuli
 

Attachments

  • 1445592537091.jpg
    1445592537091.jpg
    29.5 KB · Views: 54
Ikiwa imebaki ck moja watanzania wapige kura ya ndio kwa Magufuli, na kumkata fisadi papa, hali imezidi kuwa tete kwa upande wa ukawa kwani wale waliokuwa wanawategemea ck zote za kampen hasa bodaboda au wanywa gongo na viroba wamemsaliti na kumkimbilia Magufuli wakiamini ndo kimbilio lao....Hapakazitu
 
Lowassa kashindwa kufafanua sera zake, na kila siku anakuja na kipaumbele kipya, hajielewi, anasshau harakati ni mzee mno
 
Mkiki mkiki wa mbio za Urais sasa unaelekea ukingoni lakini ni shairi kuwa Magufuli nyota yake inang’aa zaidi kila anapokwenda anapokelewa kwa kishindo tofauti na ukawa walivyodhani, ni dalili nzuri zinazoonesha kuwa yeye ndiye atakayekuwa Rais wa Awamu ya Tano. Kiongozi mzuri anaonekana kwa matendo yake siyo usanii unaooneshwa na Lowasa hata kwenye vyombo vya habari vya kimataifa (BBC) “Unanionea”.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom