Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Takwimu za NEC zinasema asilimia 68 ya wapiga kura ni vijana wa umri wa miaka 18-40.
Tafiti za Twaweza n Synovat zimeonyesha Lowassa anaungwa mkono na vijana.
Dadavua.
 
Karata dume lazimaaaaaa...maaana jamaa hawana hoja kazi yao kupost matusi tuuuuu
edo mwenyewe hana points za kujiteteta kazi kusema ...mabadiliko,,,,mabadilikoooo
what a non sense
 
Mkiki mkiki wa mbio za Urais sasa unaelekea ukingoni lakini ni shairi kuwa Magufuli nyota yake inangaa zaidi kila anapokwenda anapokelewa kwa kishindo tofauti na ukawa walivyodhani, ni dalili nzuri zinazoonesha kuwa yeye ndiye atakayekuwa Rais wa Awamu ya Tano. Kiongozi mzuri anaonekana kwa matendo yake siyo usanii unaooneshwa na Lowasa hata kwenye vyombo vya habari vya kimataifa (BBC) Unanionea.

Acha uongo wewe
 
Semeni yote mwisho wa kitengo chenu ni kesho. Kama mlikuwa mnategemea hizi book 7 kuendesha maisha yenu kazi mnayo.
 
Mkiki mkiki wa mbio za Urais sasa unaelekea ukingoni lakini ni shairi kuwa Magufuli nyota yake inang'aa zaidi kila anapokwenda anapokelewa kwa kishindo tofauti na ukawa walivyodhani, ni dalili nzuri zinazoonesha kuwa yeye ndiye atakayekuwa Rais wa Awamu ya Tano. Kiongozi mzuri anaonekana kwa matendo yake siyo usanii unaooneshwa na Lowasa hata kwenye vyombo vya habari vya kimataifa (BBC) "Unanionea".

SASA NDUGU YANGU KAMA KALAMBA DUME UNADHANI LITAMWACHA SALAMA KWELI???? UNAJUA SIFA Za DUME???
 
Mkiki mkiki wa mbio za Urais sasa unaelekea ukingoni lakini ni shairi kuwa Magufuli nyota yake inang'aa zaidi kila anapokwenda anapokelewa kwa kishindo tofauti na ukawa walivyodhani, ni dalili nzuri zinazoonesha kuwa yeye ndiye atakayekuwa Rais wa Awamu ya Tano. Kiongozi mzuri anaonekana kwa matendo yake siyo usanii unaooneshwa na Lowasa hata kwenye vyombo vya habari vya kimataifa (BBC) "Unanionea".

Ni vile mmetutungia sheria kali za kutukataza kuwaambia ukweli, vinginevyo ningekutumia VIDEO uone jinsi alivyopokelewa Ubungo pale OILCOM. Nachoona hapa mdau unajitekenya halafu unacheka.
 
Tuna msubiri magufuli tunamuhitaji magufuli sito achakuonyesha furahaa kubwa taifa litalipuka kwa furaha na lowasa atajuwa pesa hazinunuwi watu na utu wao
 
Problem with politics people record and AMPLIFY the ugly quotes you would wish they would forget!!!:wink:
magufuli hana ubavu wa kumshinda Lowassa, hata Lowassa akiamua kulala bila kufanya kampeni....mgombea ambaye hata haelewi kipi azungumze wapi wa nn sasa?

Mara .... Nikishinda"Nitampa ....upendeleo maalumu wa kibiashara"


mara....." Saddam Hussein alikuwa rais wa Libya, oooh.... nilisahau....Kuwait

mara......" Mungu amlaze mahali pema peponi Jakaya K.

Mara...... " Abdallah kigoda alinitumia email akiwa ICU.

Mara........" push up".......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom