ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,425
- 15,307
Nani ajifungie??? ninausubiri UKUTA wa sep. 1 kwa hamu kuliko ambavyo wayahudi walivyomsubiri Masiha....Alale wakat uck ni muda wa kufyatu....hahaaa ole wako ujifungie,hahaaa,aisee Rais wetu atakuwa analala na stress sana siku za hivi karibuni,mkuu rais kama mambo magumu,umeshindwa kuongea na hao ukuta,call state of emergency u resign.....