Magufuli amshinda Lowassa umaarufu kimataifa!

Magufuli amshinda Lowassa umaarufu kimataifa!

Kweli vituko haviishi!!!magufuli yupi amzidi lowassa
 
Huo umaarufu ni upi:what: au unaota:what: rais wako kikwete mwenyewe sio maarufu kama Lowassa, au umeshapiga mambo flani nini:what:
 
Kojoa ulale mvuto wa lowasa haujawai tokea dunian
 
Hiyo source yako si ya ukweli ni uongo mtupu, kweli CCM imebinywa korodani

Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube
 
Hayo mataifa wa mchague wetu el
 
Mtoa post fafanua umaarufu wa magufuli huweza kuta watu walikuwa wanataka kujuwa mtu anaitwa pombe
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube
[TABLE="width: 292"]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 191"] Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"]17.20%[/TD]
[TD="class: xl64, width: 70"]2601[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 191"]Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)[/TD]
[TD="class: xl65, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"]81.40%[/TD]
[TD="class: xl64, width: 70"]12311
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 191"]Other[/TD]
[TD="class: xl65, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl63, width: 64"]1.30%[/TD]
[TD="class: xl64, width: 70"]204[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67"] Total Vote 15116
[/TD]
[TD="class: xl66"][/TD]
[TD="class: xl66"][/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]15116[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mwamakula naheshimu habar yako,Ila hizo likes 1411 za Magufuli ni mtaji wa kura 25 october?Maana hizo ndio zinazoamua raisi.
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube
Nilichojifunza ni kwamba ww ni Lofa, unayesema ITV ni bora kuliko Migufuli. Kura zinapigwa kitaifa na sio kimataifa Mpumbavu mkubwa ww.
 
Magufuli huyu huyu anayepitwa kuongea kiingereza na mwanangu wa darasa la 4?labda ameshinda kimataifa katika kukagua mitaro
 
Ukikataliwa na wazee kaa chini ujitathimini.utakuwa na laana tena laana mbaya sana.ccm byebye.!
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube

Jibu hii mleta mada useme hizo like ni za facebook ipi ya hao wawili
 
Attachments

  • 1444035881517.jpg
    1444035881517.jpg
    46.3 KB · Views: 222
  • 1444035973830.jpg
    1444035973830.jpg
    68.6 KB · Views: 226
Magufuli huyu huyu anayepitwa kuongea kiingereza na mwanangu wa darasa la 4?labda ameshinda kimataifa katika kukagua mitaro

We Hujui Hata Kiswahili Useme Mwananao Anajua Kingereza, Au Unasema Mwana Wa Jiran?
 
siku hizi, kipimo cha kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni likes za facebook! Wakati huu ninapoandika, likes za facebook za wafuatao, ni hizi hapa:
1.bishop zachary kakobe international ministries - 139,490;
2.jakaya kikwete - 61,703;

3.itv tanzania - 56, 413;
4.mwananchi communications ltd - 33,100;
5.habari star tv tanzania - 30,746;
6.john pombe magufuli - 1,411;
7.edward ngoyai lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

lowassa ana likes zaidi ya laki 4 na akaunti yake imeshakuwa verified. Wewe ni zumbukuku kweli

ingia hapa uone https://www.facebook.com/EdwardLowassaTZ?fref=ts
 
wewe unayesema magufuli hawezi kuwa rais nani kakwambia kama siyo mpango mzima wa kutumiwa na wanasiasa uchwala ili kuchafua wanasiasa wengine, na hii imeonesha wazi kuwa wewe unatumiwa make mleta mada kaongelea suala la umaarufu halafu wewe umekimbilia suala la urais nani kakuuliza kama siyo kutumika hovyo angalia mtakutwa na kiama mkiwa bado mnatumika kutetea wanasiasa uchwala umeshidwa nini kuchangia kwa mujibu wa mada husika hadi unadakia urais.

Amesema kweli acha kumshambulia. Magufuli kazi anazoziweza ni kutengeneza barabara na madaraja sio kuongoza. Lowasa akiwa raisi atamfikiria kumpa kazi hizo kama nafasi itakuwepo.
 
Back
Top Bottom