Magufuli amshinda Lowassa umaarufu kimataifa!

12074797_159111931101737_3583935889266368374_n.jpg
 
magufuli pombe, hata akiwa maarufu vipi hawezi kuwa raisi wa tanzania. huyu jamaa ni mtendaji na wala sikiongozi kwani hana busara na mlipa visasi

Kwa tafsili yako rais siyo Mtendaji!!!!!
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube

Una andika upuuzi mtupu
 
Okay raisi wa libya sadam hussein....oh hapana ni wa kuwait.
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube

Akili yako Kama taasisi moja iitwayo TWANUNULIKA zamani ikiitwa TWAWEZA, hujui unachokisema hapa, umekaririshwa!
 
Labda kamshinda kwa kupiga push up lakini siku hizi hata vichaa wanapiga push up. Mtu kama mwigulu anapiga push up..???.
 
Yaani Lowasa juzi tu kaingia Keshafikisha Nusu ya Likes za Diamond mwenye 800k
 
Anawezaje kuwa maarufu nje wakati hata lugha zao hajui.
 
Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa:
1.Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490;
2.Jakaya Kikwete - 61,703;

3.ITV Tanzania - 56, 413;
4.Mwananchi Communications Ltd - 33,100;
5.Habari Star TV Tanzania - 30,746;
6.John Pombe Magufuli - 1,411;
7.Edward Ngoyai Lowassa - 792.
Hapa kunajambo la kujifunza.

Source:YouTube

Vipi kuhusu uelewa wake wa lugha ya Kiingereza ambayo ni lugha ya kimataifa.
 
magufuli pombe, hata akiwa maarufu vipi hawezi kuwa raisi wa tanzania. huyu jamaa ni mtendaji na wala sikiongozi kwani hana busara na mlipa visasi

Huyu jamaa ni mjinga kuliko Mkiti wake wa chama. Bora Mkiti kapewa hela ya kuuza chama. Ukiwa sasa hivi wanatembea kama digidigi hawana makazi maalumu.
 
Ache upuuzi.kuwa Facebook hakumaanishi kapigia na wasio watz
 
Huyu magufuli anayesema sadam hussen ni rais wa kuwait?? Aisee kweli ww ziro kabisa
 
Back
Top Bottom